Ndege ya Air Tanzania iliyotokea KIA kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha, libadilishwe!

Ndege ya Air Tanzania iliyotokea KIA kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha, libadilishwe!

A wake up call should be appreciated even if you think you are on the right! Common sense is not that common!
Learn to differentiate wake-up call from much-knowing.
You truly exemplify the uncommonness of common sense.
 
Na wasafiri nao wana akili mkuu. Inawezekana huyo anayetakiwa kufanya ukaguzi alijaza taarifa bila hata ya kukagua.
Ndege leo imeondoka Kilimanjaro kwenda Dar es Salaam 06:55 AM uzi umeletwa alfajiri. Hamwezi hata kujiongeza!!?
 
Kwahyo unataka kusema tairi la ndege lina kipara zaidi ya hicho ulichokalia😂😂😂. Hebu leta kapicha tujue kweli umepanda ndege
 
umejuaje kama limekwisha, yaana umepima na nini?..

umetumia depth gauge?, umetumia inflation gauge? unajua masaa ya hilo tairi kwenye hiyo ndege..

yangu ni hayo tu kabla namimi sijaungana na wewe.
 
Hilo dege mama yenu alikua nalo dubei wiki nzima,
ratiba kwanini isiharibike?
Ukiona ratiba inaenda sawa ujue kasharudi huyo.
Da!!! Hapo nimeelewa.
Watu ambao hawajui mambo ya nchi wanaweza kujikuta wanajitafutia matatizo. Kuna mwamba mmoja alihamasisha abiria wagome kupanda ili waandishi waje wachukue habari ili mama aone madudu ya shirika lake, maana watu waliwekwa zaidi ya masaa 7.

Mimi nikatulia tu, nikajisemea haiwezekani ishu kubwa hama hii isijulikane. Hii nchi ukiielewa wala huwezi kupanic na kufokafoka hovyo, utatafuta soft solns ili mambo yako yasikwame
 
Tairi bado wanalidai halijarudisha faida
Yah halafu nalo linaleta mbwembwe za kuwa kipara wanaliburuza hivyo hivyo.
Mleta mada anaogopa bure tu ni tubelless lile,linaweza tumika mpaka ringi iguse ardhi ndio lipewe mafao
 
Back
Top Bottom