Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu!

Nilianza mjadala kwa gadhabu lakini hukunipuuza wala kunichoka..

Umejibu kwa hekima sana na nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwako!

Barikiwa!!
 
Hii ni hatari kuliko wanavyodhani. Hapo Engineer aliekagua na kujaza log book ahojiwe. Rubani pia anatakiwa kuhojiwa kwanini aruhusu kuruka na tairi kama Hilo.

Nafikiri Matindi na Timu yake wajichunguze
Hii yote ni sahihi lakini kama kungekuwa na mfumo mzuri wa check and balance .ndege zilinunuliwa kisiasa na ni za serikali hakuna mtu angeweza kupinga au kuhoji ufanisi bila ya yeye kutikiswa .

Hakuna mechanism ya kuiwajibisha serikali ,mfano magari mengi ya serikali hayana bima na yana overspeed , lakini hutakuta yamekamatwa na kuwajibishwa, serikali inaweza ikaanzisha shule na kusiwe na vyoo au maabara , maktaba nk na itakuwa salama hutasikia taasisis yoyote ikenda kukagua shule za serikali na kuziwajibisha , ila kwa mtu binafsi hawezi kuwa na shule yenye mapungufu bila taasisis za serikali kumsumbua na faini.
Moja ya risk za serikali kufanya biashara ndo mambo kama hizi , haiwajibishwi!
 
Mkuu Atcl wamejibu kisisasa , cha kushukuru ni kuwa wameonyesha kulikubali tatizo na kuondoa taharuki kitu ambacho naona wamefanya sahihi kabisa

De havilland , hatengenezi tairi!! Hoja ya ubora au uimara au red line ya matairi ilitakiwa ijibiwe na trye manufactures , de havilland hapo ametumiaka kutoa uzoefu wake kwa tairi kwa ndege yake ya bombadier lakini wenye tairi zao wanaeza kuja na hoja tofauti kabisa kwa hali ike ya tairi , so far to date , watengenezaji mashuhuri wa tairi za ndege ni goodyear , dunlop na kwa sasa michellin anasogeasoge on top,
Cha kushukutu mungu ni inaonekana halitajirudia tena hilo swala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…