Ndege ya British Airways aina ya Boeing 747-400 imegonga jengo dogo la ofisi kiwanjani Oliver Tambo, Johannesburg Afrika Kusini. Ilikuwa inaelekea kondoka kwenda London, Uingereza.
Inaelekea ni kosa la rubani kupita njia (taxiway) tofauti na alivyo elekezwa na mwongozaji, Air traffic controller.
Hakuna majeruhi na aliyeumia zaidi labda ni rubani kwa aibu ya kitendo hicho.