Ndege ya British Airways yagonga .....

Ndege ya British Airways yagonga .....

matembele

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2009
Posts
322
Reaction score
188
Ndege ya British Airways aina ya Boeing 747-400 imegonga jengo dogo la ofisi kiwanjani Oliver Tambo, Johannesburg Afrika Kusini. Ilikuwa inaelekea kondoka kwenda London, Uingereza.
Inaelekea ni kosa la rubani kupita njia (taxiway) tofauti na alivyo elekezwa na mwongozaji, Air traffic controller.
Hakuna majeruhi na aliyeumia zaidi labda ni rubani kwa aibu ya kitendo hicho. ImageUploadedByJamiiForums1387800598.706339.jpg
 
Atakua alichanganyikiwa kama yule mkalima wa hotuba ya Obama
 
Hata bondeni nao wanajichanganya kama uku kwetu ni wiki tuu imepita badala ya barabara no27 KIA ikatua barabara no27 Arusha.
Tuyazoee hayo majanga.
Inawezekana waongozaji ni matrainee!!??
 
Hata bondeni nao wanajichanganya kama uku kwetu ni wiki tuu imepita badala ya barabara no27 KIA ikatua barabara no27 Arusha.
Tuyazoee hayo majanga.
Inawezekana waongozaji ni matrainee!!??

Incidents kama hizi hutokea sana kwenye hizi shughuli.
Ni sawa na jinsi magari yanavyokwaruzana au kuingia kwenye mitaro etc.
Hayatangazwi tu ila pale patakapo tokea majeruhi au mauti.
 
rubani huenda alikuwa 'babolous' mana bondeni na hii december pombe kununua utake mwenyewe
 
Back
Top Bottom