Alifuata nini huko kusikotakiwa?
Hata bondeni nao wanajichanganya kama uku kwetu ni wiki tuu imepita badala ya barabara no27 KIA ikatua barabara no27 Arusha.
Tuyazoee hayo majanga.
Inawezekana waongozaji ni matrainee!!??
kwahiyo alikuwa anataka kutoa kafara hao abiriaBado ana kumbukumbu ya kifo cha mzee Madiba!