Ndege ya Diamond Platnumz aliyosema kanunua iko wapi?

Ndege ya Diamond Platnumz aliyosema kanunua iko wapi?

πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜
 
Unafkir kumiliki ndege ni sawa na kumiliki FEKON au TVS?

1> Vibali
2>Airworthiness Costs
3>Rubani tu kumlipa ni ishu nyingine
4>Kuiweka kwenye HANGAR ni ishu nyingine
5>Ikiruka kuna charges
6>Ikitua kuna charges
7>kuna charges za services provider mfano ATC ktk ishu za Aeronautical services.
8> Insurance cost
9>Fuel
10>Crew management costs

Yaan kumiliki ndege sio sawa na kumiliki FEKON au BAJAJ
Umemjibu kisomi,hongera,Akon na mihela yake aliiuza ndege yake ndani ya miezi sita tu na anajuta kuinunua
 
Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni kuongeza thamani yake.

Baada ya kauli hiyo, Diamond akasifiwa sana na kuelezwa kwamba angekuwa msanii wa kwanza kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kumiliki ndege yake.

Tulisikia mengi, sifa kem kem kutoka kwa wapambe wake wakiwemo akina Baba Levo ambao walisema kwamba si tu kwamba bosi wao huyo ana mpango wa kutaka kununua hiyo ndege, bali tayari amekwishainunua ila tu bado kuwasili kwa vile inamaliziwa.

Kuanzia wakati huo tunaona kimya. Tumesubiri kwa mwaka mzima lakini kimya hadi sasa. Hiyo ndege iko wapi jamani au imeishakuja kinyemela?
duniani kuna aina nyingi za ndege, kuna ndege kiumbe, kuna ndege za kichawi, na ndege kama za ATCL. yeye alimaajisha ipi kati ya hizo,
 
Maelezo yako hayajajibu swali la mtoa mada.kwasababu mtu hawezi kununua ndege akashindwa kulipia hivyo vitu.
Ni hivi mfano rahisi ni hizi gari za BREVIS unafkir kwanini wanayakimbia? Kulinunua bei rahisi ishu gharama za uendeshaji zipo juu.

Ukikanyaga throttle inabugia kikombe cha Petroli.
 
Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni kuongeza thamani yake.

Baada ya kauli hiyo, Diamond akasifiwa sana na kuelezwa kwamba angekuwa msanii wa kwanza kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kumiliki ndege yake.

Tulisikia mengi, sifa kem kem kutoka kwa wapambe wake wakiwemo akina Baba Levo ambao walisema kwamba si tu kwamba bosi wao huyo ana mpango wa kutaka kununua hiyo ndege, bali tayari amekwishainunua ila tu bado kuwasili kwa vile inamaliziwa.

Kuanzia wakati huo tunaona kimya. Tumesubiri kwa mwaka mzima lakini kimya hadi sasa. Hiyo ndege iko wapi jamani au imeishakuja kinyemela?
Unauliza ndege ya Diamond badala uulize treni ya Gwajima (isiyokuwa na mabehewa) aliyodai amenunua tangu mwaka 2016 hadi leo haionekani ilipo? Nchi hii ina watu wa ovyo sana.
 
Ndege labda ana uwezo wa kununua..but maintainance fees ndo kimbembe!! Kuanzia insurance mpk kulipa marubani..
Labda angekuwa ana world tour kama Burna boy..hapo angepata faida ya kumiliki ndege. But kwa show za kwenda mbeya songwe mtwara to sumbawanga... akikodisha ni more economical kuliko kumiliki private jet.
 
Na kile kinywaji cha kiba kilikuwa kinaitwaje??
 
Maelezo yako hayajajibu swali la mtoa mada.kwasababu mtu hawezi kununua ndege akashindwa kulipia hivyo vitu.
Ni watu wengi sana, wengi tena sana wanaonunua ndege ila gharama za uendeshaji zikawashinda. Wengi mno
 
Back
Top Bottom