Ndege ya kijeshi ya Urusi yajikanganya na kushambulia wanajeshi Warusi

Ndege ya kijeshi ya Urusi yajikanganya na kushambulia wanajeshi Warusi

[emoji1][emoji1][emoji1] Asanteni Sana DW, FOX NEWS,BBC, SKY NEWS, CNN, VOA etc
FOsn5ExVEAc8G0o.jpg
 
Wanajeshi wa russia wamekuwa wakilalamika sana walipoondoka russia hawakuondokeana kwa kuja vitani direct walikuja kwa ajili ya kulinda amani, sasa kichwa cha mwendaazimu Putini akabadili gia angani ndio maana yanatokea haya “miscalculated”,

Alichukulia poa, sasa miili ya wanajeshi wake imezagaa Ukraine anashindwa hata kutoa taarifa kwa ndugu na mama za wahanga hao kwamba wtoto wao wamefariki vitani amebana kimya
 
Hali inazidi kuwa mbovu hadi Warusi wameanza kupoteana na kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.....



Mbona nimeangalia vizuri tu hii video hakuna popote ambapo ndege za Russia zilipobutuliwa?

Hivi kweli tuna akili sisi ngozi nyeusi kwa upumbavu huu, mabeberu endeleeni kutuita kenge kabisa badala ya nyani [emoji848][emoji23]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ama labda hajachanganya kaamua kuwapiga wenzie kwamba acheni upuuzi kuvamia nchi za watu alaf akajifanya alichanganya

Kuna sehemu nilisoma kwamba baadhi ya majenerali wa Urusi waliouawa, waliuliwa na wanajeshi Warusi ili kutafuta namna ya kumfanya Putin aachie uchizi. Kwamba jenerali akitoa amri ambayo haitekelezeki au itasababisha maafa mengi kwa wanaotumwa, wanamtia shaba ili hiyo amri iwe batili.
Unapotoa amri kundi la wanajeshi lijipeleke kichinjioni eti waingie kichochoro fulani wakapigane nyumba kwa nyumba, hapo lazima uliwe shaba.
 
Aliyeona ndege ya Russia ikiangusha mabomu kwa wanajeshi wowote wale (sio lazima wawe wa Russia) kwenye hilo li-video la uongo anieleze ni sekunde ya ngapi nami nijionee

Hapo ndio utajua kuwa Pro-Ukraine wana uwezo mdogo ktk kutofautisha propaganda na ukweli

SmartSelect_20220326-074033_Chrome.jpg
SmartSelect_20220326-074220_Chrome.jpg
SmartSelect_20220326-074317_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom