antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwani hiyo TBC yenu inasemaje?[emoji1][emoji1][emoji1] Asanteni Sana DW, FOX NEWS,BBC, SKY NEWS, CNN, VOA etcView attachment 2164560
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hiyo TBC yenu inasemaje?[emoji1][emoji1][emoji1] Asanteni Sana DW, FOX NEWS,BBC, SKY NEWS, CNN, VOA etcView attachment 2164560
Yaani nimeamini haya majamaa mabichwa yao ni mzigo tu kwa MwiliVideo yake inasaidia kupima na kutambua namna gani Pro-Ukraine walivyo na uwezo duni wa kutambua mambo hata yanayoonekana wazi kwenye video
Inasema hivi[emoji116][emoji116][emoji116]Kwani hiyo TBC yenu inasemaje?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nadhani vile vilainishi vanavyopewaga na USAID vinawatoaga ufahamu [emoji1][emoji1]Haya mazumbukuku ya USA na UE yanafurahisha sana, nimeamini mabeberu kuna kitu yalifanya vichwani mwetu maana si kwa mahaba haya ya kushabikia propaganda kila siku [emoji1787][emoji1787]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Aisee!Inasema hivi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2164657
Naaam,huku Assad nae akipigilia msumari.Aisee!
Ila Putin anasema kweli tupu?
Angalieni kwanza hizo video,
Hakuna hata Ndege ya urusi ilio ilipua mwenzake.
Na hiyo ya pili hakuna usibitisho wowote kua hao ni wanajeshi wa putini.
Hii inaitwa Act of God na bado ile ya wanajeshi wa Urusi kujitenga na kukimbilia west inakuja, wewe soma kitabu kiitwa rise and fall of socialism utashangaa jinsi mungu alivyo mpokonya mrusi nguvu ya kulinda ukomunist duniani . kitabu kizuri sana
Nadhani wewe ndio una tatizo kubwa zaidi, unaambiwa ndege za Urusi zimeshambulia vikosi vya Urusi kimakosa, wewe unauliza mbona hakuna ndege iliyobutuliwa, nadhani hukuelewa hoja.Mbona nimeangalia vizuri tu hii video hakuna popote ambapo ndege za Russia zilipobutuliwa?
Hivi kweli tuna akili sisi ngozi nyeusi kwa upumbavu huu, mabeberu endeleeni kutuita kenge kabisa badala ya nyani [emoji848][emoji23]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app