Ndege ya kijeshi ya Urusi yajikanganya na kushambulia wanajeshi Warusi

Haya mazumbukuku ya USA na UE yanafurahisha sana, nimeamini mabeberu kuna kitu yalifanya vichwani mwetu maana si kwa mahaba haya ya kushabikia propaganda kila siku [emoji1787][emoji1787]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nadhani vile vilainishi vanavyopewaga na USAID vinawatoaga ufahamu [emoji1][emoji1]
 
Hii inaitwa Act of God na bado ile ya wanajeshi wa Urusi kujitenga na kukimbilia west inakuja, wewe soma kitabu kiitwa rise and fall of socialism utashangaa jinsi mungu alivyo mpokonya mrusi nguvu ya kulinda ukomunist duniani . kitabu kizuri sana
 
Imeripotiwa kuna wanajeshi wengi wa Urusi kwa usaidizi wa watu wa Ukraine, wamevua magwanda na kuvalia mavazi ya kiraia na kurudi Urusi kimya kimya, wengine wamejificha huko huko Ukraine.
 
Nadhani wewe ndio una tatizo kubwa zaidi, unaambiwa ndege za Urusi zimeshambulia vikosi vya Urusi kimakosa, wewe unauliza mbona hakuna ndege iliyobutuliwa, nadhani hukuelewa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…