Ndege ya Kivita ya Urusi SU - 35 yaingia Katika anga la Marekani huko Alaska, Rubani wa marekani apata Kiwewe

😂😂😂😂Umehangaika sana kujitetea lakini kama unajua kidogo kimombo chukua hiyo kutoka kwa marekani yenyewe.
 
Kwa hiyo leo ni September 23?
Halafu mbona huyo mzushi mwenzako amekuwa muwazi kwa kusema ni near Alaska lakini wewe unayejua kimombo umekuja kutwambia ni ndani ya Alaska?
Haijasemwa kuwa ni kwenye International Air space imetajwa kuwa ni Alaska sasa kama unabisha bisha ila ndio hivyo. Halafu kuwa September 23 siyo issue kwani walio toa report hawajui kuandika tarehe?
 
Jamani mwenye Ramani ya Darasa la 4 atupie humu hivi AMERIKA NA ASIA zinapakana wapi
 
Ukitaka kuelewa kwanini Marekani na washirika wake wa ulaya wanazuia media za Russia Sputinik na RT njoo usome habari kama hizi.
Hawataki ukweli au udhaifu wao uonekane hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…