Umeshaondoka Beirut?
Ulizamia Gaza na Beirut mazima kiasi ukasahau kuwa upande mwingine kuna matukio yanaemdekea.
Kwa taarifa yako tu, hili tukio siyonla leo ni wewe ulikosa mawasiliano ulipokuwa umejificha na Nasrallah (SAW).
Nikufahamishe tu, Russia haikuingia aalaska bali alikuwa yupo upande wake. Katika mpaka baina ya nchi na nchi kuna umbali unatakiwa majeshi yakae na ukiingia ndani ya umbali hui hata kama ni ndani ya nchi yako unahesabiwa umevamia nchi nyingine hata kama haujavuka border.
Kwa kukiuka sheria hiyo ndiyo maana kila siku wanajeshi wa India na China wana report malalamiko ya kutiana madole mpakana.
Majeshi yao yanayenganishwa na mstari wa mpaka tu kiasi hata majani ya chai na sukari wanaombana.
Wameamua kutokuwa wanabeba silaha ila wanasiasa wao wakitofautiana tu askari wao wanapigana kwa kutiana madole
View attachment 3111590
View attachment 3111591View attachment 3111592View attachment 3111594View attachment 3111593