Ndege ya kutoka Uingereza yazuiwa kutua Kenya, yalazimika kugeuza

Ndege ya kutoka Uingereza yazuiwa kutua Kenya, yalazimika kugeuza

Congratulation Manyang'au... kuna jirani yenu mmoja anasema hao Wazungu waendelee tu kuingia kwenye nchi yake, na kwahiyo msiwatishe!!

Sema dah, sijapenda kabisa kilichofanywa na askari wenu though si ajabu kwa miaskari ya kiafrika manake sijui ina matatizo gani kwenye vichwa vyao!! The same would happen in Tz in case there would be a lockdown.
 
Habari ya uongo! Haiwezekani ikawa imerudi all the way to London! Ndege haiwezi kuwa na mafuta mengi namna hiyo ya kugeuza baada ya kufanya trip ya 10,000 km na kurudi tena! Lazma itakuwa imetua mahali hata kama nchi jirani! IATA rules haziruhusu kinachoongelewa hapa!

 
Pole kwa kuchezea bakora mitama kutoka kwa askari

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Maeneo kama hayo hunikuti kamwe, maana najua sana mipolisi ya Kiafrika huwa na hasira fulani hivi na msongo wa kimaisha, nilikimbizana nao sana enzi za ujana wangu, kuwatupia mawe na mikimbio mjini, ila siku hizi nakaa mbali sana nao, mwendo wa kutazama kwenye TV.
Hebu ona wa kwenu walivyo

 
BA nafikiri wanarudisha watu kwenye nchi zao ambao walikuwa stranded huku UK
Na wote walioko nje wanarudi maana sio siku nyingi hata Heathrow itafungwa
Bora mngewapokea tu watu wenu kuliko kuwarudisha


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yaani utawacha lini kuwa mjinga?? huwa unawaaibisha sana watanzania kwa upumbavu wako. unaokota tweet ambazo huzielewi na kuzibandika hapa ili iweje?
[emoji1][emoji1][emoji1].....na tags kwenye kila comment, tena tags ambazo sielewi kwanini huwa sizioni kwenye notification zangu. Watz mkamateni huyu mzee, Geza Ulole, hata akileta fujo, mpelekeni Mental Hospital tafadhali. Nati la mwisho kwenye dish lipo karibu kudondoka. [emoji38]
 
Ni wazi Kenya inaamanisha kwenye vita dhidi ya virusi hivi, tumefunga mipaka, tumefunga viwanja vya ndege, kila mtu abaki kwao, iwe wazungu au hata majirani, kila mmoja apambane kinyake huko huko kwao.
Badala ya kupambana na corona mnapiga wananchi wenu na kuwalaza kama samaki sokoni
 
Back
Top Bottom