Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Hii Ndio Mjanja mmoja na bado yuko kazini anapanga deal lingine aliomgeza zaidi ya mil 45 dola???

Yaani Nchi ina mijitu mijinga isiyokua na huruma na very weak ikiona mzungu inakua inakubali kila kitu....

Unainia nchi yako bil 100 unapewa rushwa bila 5 akilli za kipumbavu sana

Na Hawa ATC kila mwaka wanasema hasara ila ukiingia online unaonyesha ndege zote zimejaa sasa nyie tuwaeleweje??? Kama mnajaza kila siku loss ni ya nn????
Wizi kushoto kulia
 
Hoja ya mkuu wa mkoa wa mwanza kuboresha uwanja wa Mwanza jengo la abiria, jengo la mizigo, kuruka ndege na jengo la biashara na viwanja vingine nchini ie Mbeya kuwa kwenye hadhi ya kimataifa ni muhimu sana kwa sasa kwa biashara hii ya mizigo. Serikali ichukue hatua za haraka kuboresha viwanja hivyo. Aidha, ndege hii ilindwe dhidi ya majasusi wanaozivizia na kuzichukua kufidia madeni nje ya nchi.
 
Kwaio za abiria hazina uhitaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kwamba ukitak kwenda huko unakopeleka mizigo utapanda hio cargo
Hii ndege iliagizwa miaka 3 iliyopita tusubiri za mama naye kaagiza 3
 
Mama naye akajenge uwanja Chake chake Pemba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu washakula 80 bn TZS cha juu wametulia, wanawachora tu mnavyoraruana kwenye keyboard
 
Hii ndio STUPIDITY???? πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
 

Attachments

  • Screenshot_20230404-114746.png
    66.1 KB · Views: 6
Aisee siipendi ccm ila Mama Samia pekee ndiye ninayemkubali safi sana mama kwa ndege ya mizigo ikiwezekana tuwaachie wawekezaji wa ndani na nje kusafirisha abiria sisi to deal na mizigo.
 
Kwa ndege hiyo ya mizigo ni hatua nzuri kiuchumi hivyo kwa sasa nguvu kubwa ielekezwe kwenye uboreshaji wa majengo ya mizigo, JNIA, MWANZA na Songwe airports

Mna uhakika gani kuwa hiyo ndege yenu ya CARGO haiwezekani kukamatwa iendapo Ulaya kwa wadeni wenu?
 
Hii imetupiwa hapa kuwatoa relini. mambo ya ripoti ya mkaguzi yataachwa ndege itasifiwa, kazi iendelee. Nanyumbu Mtambuka msilewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…