Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo mengi watanzania hamyaelewi.Ndege Mpya ya Mizigo ya Air Tanzania hii Hapa
![]()
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya kutengeneza ndege Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
Miaka miwili ya Samia ni neema Tupu
Madeni wamelipa lakini? Au ndiyo wananunua ndege zinaishia kukamatwa tu?Ndege Mpya ya Mizigo ya Air Tanzania hii Hapa
![]()
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya kutengeneza ndege Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
Miaka miwili ya Samia ni neema Tupu
Nyabukika hebu toa ufafanuz zaid juu ya madai yako ili ueleweke zaid humu!!Ndege Mpya ya Mizigo ya Air Tanzania hii Hapa
![]()
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya kutengeneza ndege Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
Miaka miwili ya Samia ni neema Tupu
Huku anaongeza ndege huku wahuni wako njiani kuuza ndege moja kwa kisingizio cha deni la mzungu mzoefu kuibia hela tanzania. Inaelekea Jpm alimthibiti huyu tapeli anayeamini ni lazima apore mabilioni ya hela kutoka tanzaniaNdege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Achana na hizi fikra. ATC ni ya nchi. Mipango inaweza kuwepo awamu ya pili ikatekelezwa awamu ya sita. Uongozi wa nchi si mtu. JPM alikuwa Rai wa nchi si John. Nadhani umenielewa. 🙏🙏🙏Hizo ndege zilinunuliwa na JPM.
Achana na hizi fikra. ATC ni ya nchi. Mipango inaweza kuwepo awamu ya pili ikatekelezwa awamu ya sita. Uongozi wa nchi si mtu. JPM alikuwa Rai wa nchi si John. Nadhani umenielewa. 🙏🙏🙏
JPM alinunulia nani ndege nyie.Hizo ndege zilinunuliwa na JPM.
Hivi ile iliyokuwa inabeba nyama ya mbuzi iko wqpi ?Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Si nasikia mengine yamelala yoo sasa mnaongezea mengine ya nini wakati uwezo wa kuyatunza hamnaNdege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Tatizo hawajui bei ya soko wataaanza kuweka bei zisizo na uhalisiaNdege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
JPM alinunulia nani ndege nyie.
Are you seriousIle iliyokamatiwa uholanzi ndio basi tena, hata kwenye inventory ya ndege za ATCL haipo tena, zimebaki tatu tu za aina hiyo.
Your question as good as it is should be posed to Air Tanzania, eventually TGFA.... Not me! 😳Are you serious