Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Zikiwa huko tunakubaliana ni mpya, lakini zikifika huku zikaharibika zikapelekwa nje kwa matengenezo zinageuka jina, zilikuwa used!.
Hapa jiwe lazima limpate muhusika...
 
HONGERA AWAMU YA SITA KWA UBUNIFU HUU ADHIMU, MMEPATA KURA ZOTE ZA WATANZANIA!
HONGERA DR. SAMIAH MAJESTIC 6G!
Kazi kwenu wakulima na mazao yenu, ubora wa mazao muhimu sana.
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
"Nikifa, hizi ndege atanunua nani,mniombee ndugu zangu watanzania"

SSH anazinunua, na maisha yanaendelea
 
Ile iliyokamatwa vp..imeshwachiwa..wasije kamata na hiyo
Ile iliyokamatiwa uholanzi ndio basi tena, hata kwenye inventory ya ndege za ATCL haipo tena, zimebaki tatu tu za aina hiyo.
 
hUYU MAMA HANA ALICHOWAZA HAPO, ALIKUTA MIKATABA ILISHASAINIWA NA PESA ILISHALIPWA HAKUWA NA JINGINE ZAIDI YA KUSUBIRI AZIPOKEE TU. JPM KICHWA SANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuwa na uwezo wa kuplan vitu vizito kama hivyo zaidi ya kutekeleza vision ya MWANAJESHI JK.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-2007665941.jpg
JamiiForums1407174504.jpg
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
JPM alianza na kazi hii ya kuleta ndege na alituambiaga kuwa zinatengeneza profit kubwa sana tu. Alipokufa report ya CAG ilionesha shirika la ndege lilikuwa limerecord loss kubwa sana na haijawahi make hata profit. My question is, Kama ATCL ili record loss kubwa kama ilivoelezwa, ndege zinaendelea kununuliwa za nini? Je miundo mbinu ilishawekwa vizuri tofauti na wakati huo?
 
Ndege Mpya ya Mizigo ya Air Tanzania hii Hapa

FrLTAV3WIAMLW7-

Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya kutengeneza ndege Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

Miaka miwili ya Samia ni neema Tupu.
 
Back
Top Bottom