Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
Ila mm hii nembo ya twiga kuwakilisha tanzania huwa siikubali yaani utendaji wetu umekuwa kama km wa kitwiga twiga pia tupo taratibu mno na wala hatuna haraka.

Haya mambo yanaweza kuwa kiroho zaidi tuchunge sana tunapojifananisha na vitu, wanyama au mime.
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
Dah sasa mmexpose si itakamatwa na wadaiwa wetu
 
Tena kipindi cha Magu maisha yalikuwa magumu sana kuliko haya ya leo maana unaweza kununua bidhaa yako mahali popote bila vizuizi vyovyote kutoka mamlaka yoyote.
Mmh huu uongo jamani
 
Kwani wanashindana kununua ndege? Tuache ujinga. Badala ya kuuliza iwapo nazo zina fault kama zile zilizolala na tumejipanga vp kukabiliana na hilo mnabishana ni nani aliyenunua ilihali hakuna raisi aliyenyimwa mshahara ili nchi iwe na ndege.
Sijasema mahala wanashindana kununua ndege wala kushindanisha, bali nimemuweka sahihi huyo ajue iliagizwa awamu gani. Punguza mihemko
 
EMBU JISOME HALAFU USINIJIBU.

"Hizo ndege zimeagizwa kipindi cha JPM, kule unaweka oda kwanza ndiyo inatengenezwa. Asikudanganye huyu, mama awamu yake hakuna hata ndege iliyoagizwa"
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
Mama anaupiga mwingi sana alisema anataka kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji pia kuifanya Tanzani akuwa kitovu cha biashara sasa tunaona anafanya kwa vitendo anahakikisha tunakua vizuri katika usafiri wa anga, majini na nchi kavu Mama endelea kuupiga mwingi hadi 2030 tuko pamoja
 
Wqfiq deeen bna ndwge alinunua jiwe mama hajatoa chochote kutoka mchamba wimer
 
Back
Top Bottom