Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Hebu mpinge kwa namba tuone
 
Ukisima huu uzi utagundua watu wengi wajinga. Ndege ni kwa ajili ya Maendeleo yetu, mtu anapinga. Hii nchi wajinga wengi mno
 
Magufuli alopokuwa ananunua ndege alipingwa na wakina Ayatollah Zitto Kabwe,mbona Mama naye ananunua asemwi?
Hizo ndege zimeagizwa kipindi cha JPM, kule unaweka oda kwanza ndiyo inatengenezwa. Asikudanganye huyu, mama awamu yake hakuna hata ndege iliyoagizwa
 
Kwani wanashindana kununua ndege? Tuache ujinga. Badala ya kuuliza iwapo nazo zina fault kama zile zilizolala na tumejipanga vp kukabiliana na hilo mnabishana ni nani aliyenunua ilihali hakuna raisi aliyenyimwa mshahara ili nchi iwe na ndege.
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
Ufisadi uendelee
 
Mashirika wenye akili ndefu, saa hizi wanatafuta mzigo wa kwanza wa kuletwa toka Marekani, lakini sisi usikute dege hill litatua tupu!.
Hongera sana Mama.
P
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104

Hamna lolote, wangenunua meli wangekuwa wamefanya jambo la maana.
Ndege yoyote ukitoa viti, unabeba mzigo, kampuni ya Sahara ya Mwanza, iliyokuwa insongozwa na Diallo, walikuwa wana export bidhaa zao Malawi, walikuwa wanakodi Fokker ya ATC inatolewa viti inabeba mzigo.
 
Hii engine yake sio kama zile Airbus? Maana mwaka tu chali
 
Hamna lolote, wangenunua meli wangekuwa wamefanya jambo la maana.
Ndege yoyote ukitoa viti, unabeba mzigo, kampuni ya Sahara ya Mwanza, iliyokuwa insongozwa na Diallo, walikuwa wana export bidhaa zao Malawi, walikuwa wanakodi Fokker ya ATC inatolewa viti inabeba mzigo.
Ume-consider factor ya maximum weight na uwezo wa engine? Au umeropoka tu?
 
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

View attachment 2550104
naona hii wameamua kuandika KAZI IENDELEE
 
Samia tena
 
Back
Top Bottom