Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Hizo ndege zilinunuliwa na JPM.
Alikuta deal limeshafanywa zamani, cheza na akili kubwa wewe...

 
Unadai kuwa hauwezi kusifia yoyote kwakuwa wanatekeleza waliichotumwa ikulu, hilo siwezi kukupangia.

Kwanini utekelezaji huo (kuhusu mada tajwa) ambao kimsingi ulifanywa na JPM uhamishiwe kwa SHH?

Mtu atakuwa sawa kudai kuwa yaliyotekelezwa na JK katika era ya utawala wake, kuwa yalitekelezwa na JPM?

Jitahidini sana msiongozwe na chuki hata kama hamkuwahi kumkubali JPM, mnaonekana wajinga kitu ambacho si chema kwa mtoto wa kiume.
Sasa umekuja pazur san.. kwanza sijasifia ndege kununuliwa na utawala huu bali nilisema ndege kufanyiwa advancing ya malipo na JPM na ikaja kumaliziwa malipo yote ni sawa cz ni CCM na wote wanafuata ilani ya 2015-2025!! Humu wengi walisema kua miundo mbinu na barabara nying zimejengwa awamu ya tano but ukirud kiuhalisia na facts barabaran klm nying zilijengwa awamu ya nne!!
 
Alikuta deal limeshafanywa zamani, cheza na akili kubwa wewe...


Sasa lawama ambazo huwa anapewa kuhusu hizo ndege ni za nini, ikiwa kumbe deal lilishafanywa na akili kubwa?

Unapoonekana ubaya juu ya hizo ndege huyu akili kubwa huwa mnamuweka wapi?
 
Mjinga kweli wewe....


Unashindwa kusema HONGERA HAYATI JPM ??.


watu wengine wapuuzi kwelikweli.
Ukiwakumbusha hilo, mara moja hongera zitageuzwa, wataanza kulaani uamuzi wa JPM! Yaani ni shida tu! Kila kitu ni hongera mama! Hata Bwawa la umeme waliumbuliwa na wafanyakazi waliposhangilia kwa nguzvu jina la JPM! Semeni ubunifu wa Samia tuushangilie! Siyo kudandia ubunifu wa mwendazake!
 
Wanafikiri tumesahau aisee.
Angalia wenzako wanavyoshangilia huko, anaaauupiga mwiiingi, yule (mnamuita mwehu) alituchelewesha na kututesa sana!.

But leo tofauti ni mtu na kipya ni kuruhisiwa kuongea kwenye vipaza sauti jukwaani!.
 
😂😂😂😂😂cheki huyu bibi😂😂😂😂
Alikuta deal limeshafanywa zamani, cheza na akili kubwa wewe...

Alikuta deal limeshafanywa zamani, cheza na akili kubwa wewe...

 
Back
Top Bottom