Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Mnaingiza ndege wakati zingine zinapaki kodi zetu hazina Kazi.
Air TANZANIA haiwezi survive bila Magufuli huu ndio ukweli, zaidi ya kuchezea kodi zetu tu

Sikia mkuu kila mtu ana mazuri yake na mabaya yake kuna mambo serikali yanafanya yapo vizuri sana lakini kuna mengine wanakosea sasa unaposema ivyo unakuwa unakosea sana je kipindi magufuli hakawa rais taifa lilikuwaje?
 
Ina engine?
 
Magufuli ameharibu heshima yetu vijana eti leo tunaishia kula ugali
 
watanzania ni watu ambao wengi hawazijui fursa za kibiashara za kimataifa, kenya wenzetu ndio wapo mbele zaidi kuzichangamkia fursa za exportation,

elimu iongezwe zaid juu yetu akili zifunguke izi ndege ziwe chachu kwetu.
Kikwazo kikubwa ilikuwa ni usafiri na Wala sio watu kutojua fursa
 
Nasubiri wazee wa vipaumbele watuwekee loloki za kama hiki ni kipaumbele au tulipaswa kudeal na njaa kwanza
 
Siyo tunamalizia kupokea mzigo alokuwa amelipia cash hayati? hope kabla kamala hajatua bongo itakuwa imefika,mambo ya diplomacy hayo[emoji28]mitano Tena kwa mama akeee [emoji444][emoji448]

Haya hawezi kununua ndege ya mizigo angeifanyia kitu gani wakati, Starehe yake ilikuwa Dreamliner ilikuwa inapaki chato.

Angenunua ndege ya mizigo ibebe nini ??? Biashara hazikuwepo, hatukuwa na diplomasia yoyote.

Kila mkitaka apumzike salama anaamshwa na Ben Saanane wapigane.
 
Mwenye Enzi Mungu atutangulie kwa hekima na maarifa yake walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…