Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Billal Saadat

Senior Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
169
Reaction score
358
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.

Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.

Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.

IMG_3493.jpg
 
Kwa ndege hiyo ya mizigo ni hatua nzuri kiuchumi hivyo kwa sasa nguvu kubwa ielekezwe kwenye uboreshaji wa majengo ya mizigo, JNIA, MWANZA na Songwe airports.

Kwa Mwanza iendane na upanuzi wa jengo la abiria kimataifa. Vinginevyo kama hakuna storage nzuri ya mizigo ndege itabaki kuwa white elephant.
 
Back
Top Bottom