Ndege ya mizigo ya Tanzania Boeing 767-300 kuweka historia kimataifa

Ndege ya mizigo ya Tanzania Boeing 767-300 kuweka historia kimataifa

Joined
Jun 4, 2022
Posts
68
Reaction score
184
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kupokea ndege ya kwanza ya mizigo Boeing 767-300 yenye uwezo wa kubeba tani 54 kwa mara moja ili kutatua changamoto za wafanyabiashara za usafirishaji wa mizigo duniani.

 

Attachments

  • Yk2QxD2OU2CO_VmJ.mp4
    5.6 MB
Write your reply...HU NI ZAIDI YA UPUUZI...Tunachangomoto nyng sna kwnye sekta nyng hasa afya na elimu.badala tuboreshe ttunakimbilia kwnye mavitu za hovyo.nani ametuloga jamani
 
Maajabu kuna waTanzania wanatukana na wengine kuombea mabaya, kitu ambacho kinawasaidia wenyewe[emoji5].

Haswa wale wa upande ulee, hawamaga jema, wao kila kitu kwao kibaya[emoji23]
 
Back
Top Bottom