MwalimuZawadi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2007
- 643
- 68
Ndo maanayake. Bidhaa nyingi zilizoko masokni hapa TZ ni za kichina anzia simu, Redio, TV na vifaa vingi vya umeme zinatoka china, na serikali inaunga mkono kuwepo kwa bidhaa feki, hiyo si ajabu wakaagiza vipuri bandia vya kichina ilimradi % inapatikana
Wapi hakuna bidhaa za kichina? Labda tuongelee standards na sizimetoka wapiRais mwenyewe wa Kichina-china, nxt
Du, nchi haina viongozi hii!!!ndiyo, ndiyo ile ambayo watanzania walilala njaa, walikufa ma-hospitalini kwa kukosa madawa lkn wadau wakashika bango mpaka inunuliwe!
[/SIZE]Ndege ya Rais aina ya Gulfstream 550 iliyochukwa nafasi ya Fokker iliyozeeka na ambayo spea zake hakuna!!
Swali: Ndege hiyo ya Fokker kwa sasa iko wapi na inafanya nini?
Yaani hicho ndio kidege cha raisi wa bongo? Shameful...
Mkuu unauhakika spares hakuna? au kuna jambo jingine?
Hizi ndo details za gulf stream 550,
Developing nation:
United States of America
Manufacturer/designer:
Gulfstream Aerospace Corporation.
Production line:
Savannah, GA USA.
Type aircraft:
long-range business jet .
First flight:
August 31, 2001.
First delivery:
2003.
Gulfstream G550
Cockpit crew:
2.
Passengers:
14 18.
Cabin length:
15,27 m.
Cabin diameter:
2,24 m.
Cabin height:
1,88 m.
Cabin volume:
47,3 m³.
Baggage compartment:
6,4 m³.
Wing span:
28,50 m.
Fuselage length:
29,39 m.
Height:
7,87 m.
Engines:
two Rolls Royce BR710 C4-11 each rated 68.4 kN.
Weight:
- basic operating weight with 4 crew: 21.909 Kg.
- max. zero-fuel weight: 24.721 Kg.
- fuel: 18.733 kg.
- max. payload: 2.812 Kg.
Max. take off weight:
41.277 Kg.
Max. landing weight:
34.156 Kg.
Cruise speed:
946 km/h.
Service ceiling:
12.497 m.
Max. ceiling:
15.545 m.
Max. range:
12.501 km.
Performance:
- take-off run 1.800 m at max. take-off weight.
- landing run 844 m at max. landing weight.
ni ndege nzuri ila sijui gharama za kuiendesha zinakuwaje kwani inaonekana matawi ya juu kinyama.
Duhhhh,
Last time niliona President Kaguta Museven akitua nayo Jomo Kenyatta Aiport na hiyo ndege ya rais wetu kipindikile cha machafuko yalikuwa yamepungua na alikuwa ameisha muunga mkono Kibaki kuwa ndie rais.
Nkajiuliza how Museven amewasili na ndege yetu hapa uwanjani why?? na Jioni yake na kwa TV news zikaonyesha mapokezi yake.
Nilijiuliza maswali je ndege iyo ilikodiwa au?????
Mkuu unauhakika spares hakuna? au kuna jambo jingine?
sasa mbona haiko labaled zaidi ya sticker ya bendera tu.. ilitakiwa iwe na tumanjonjo flani at least..basi... we c unaona AIR FORCE .... au ndio wanahofia kuwa ikiwa easly spotted wadunguaji hawakawii kuitest ubora wake.. wakairushia Roketi ranger lol