Ndege ya Rais wa Tanzania

Ndege ya Rais wa Tanzania

Ndo maanayake. Bidhaa nyingi zilizoko masokni hapa TZ ni za kichina anzia simu, Redio, TV na vifaa vingi vya umeme zinatoka china, na serikali inaunga mkono kuwepo kwa bidhaa feki, hiyo si ajabu wakaagiza vipuri bandia vya kichina ilimradi % inapatikana

Rais mwenyewe wa Kichina-china, nxt
 
Hii ndo ile aliyonunua Mkapa?
ndiyo, ndiyo ile ambayo watanzania walilala njaa, walikufa ma-hospitalini kwa kukosa madawa lkn wadau wakashika bango mpaka inunuliwe!
 
[/SIZE]Ndege ya Rais aina ya Gulfstream 550 iliyochukwa nafasi ya Fokker iliyozeeka na ambayo spea zake hakuna!!

Swali: Ndege hiyo ya Fokker kwa sasa iko wapi na inafanya nini?


Fokker-50
21b18xc.jpg


Fokker-28
2dluvb.jpg
 
duh hizo 'turbine' chambers zimechokaaa!
 
Yaani hicho ndio kidege cha raisi wa bongo? Shameful...

Mbona unasahau hadi kupatikana kwake watu walikula majani ya migomba hapo ndo uwezo wetu ndani ya ufisadi.
 
Mkuu unauhakika spares hakuna? au kuna jambo jingine?

You are quite right kuuliza swali hili. Nani kasema spea hakuna. Spea za ndege haziwezi kukosekana ni pesa yako. Ni kweli ndege aina ya Fokker 50 hazitengezwi tena maana kampuni ya Fokker ya Uholanzi ilifirisika siku nyingi. Lakini katika muda wa ndege ndege hii sio nzee sana na hasa kama inatunzwa vizuri. Watengeza vupuri wapo na vipuri vipo ila tuseme ni ukwasi wa fedha ndio maana wanasema ndege hii imechakaa.

Sijui kama mnaona siku hizi kuna ndege kila siku saa kumi jioni inaruka toka DAR kwenda Zanzibar, Ndege hii ni aina ya Dakota na hizi ni ndege za siku nyingi sana. Ndege hii haiko chini ya miaka 40 lakini iko katika hali nzuri na inaruka! Sembuse ndege ya Fokker 50 ambayo ni ya miaka ya 1980? Ni matunzo mabovu na si ukosefu wa spea. Spea zipo ni pesa yako.
 
Hizi ndo details za gulf stream 550,

Developing nation:
United States of America
Manufacturer/designer:
Gulfstream Aerospace Corporation.
Production line:
Savannah, GA USA.
Type aircraft:
long-range business jet .
First flight:
August 31, 2001.
First delivery:
2003.

Gulfstream G550
Cockpit crew:
2.
Passengers:
14 – 18.
Cabin length:
15,27 m.
Cabin diameter:
2,24 m.
Cabin height:
1,88 m.
Cabin volume:
47,3 m³.
Baggage compartment:
6,4 m³.
Wing span:
28,50 m.
Fuselage length:
29,39 m.
Height:
7,87 m.
Engines:
two Rolls Royce BR710 C4-11 each rated 68.4 kN.
Weight:
- basic operating weight with 4 crew: 21.909 Kg.
- max. zero-fuel weight: 24.721 Kg.
- fuel: 18.733 kg.
- max. payload: 2.812 Kg.
Max. take off weight:
41.277 Kg.
Max. landing weight:
34.156 Kg.
Cruise speed:
946 km/h.
Service ceiling:
12.497 m.
Max. ceiling:
15.545 m.
Max. range:
12.501 km.
Performance:
- take-off run 1.800 m at max. take-off weight.
- landing run 844 m at max. landing weight.


ni ndege nzuri ila sijui gharama za kuiendesha zinakuwaje kwani inaonekana matawi ya juu kinyama.

Ndio ndege nzuri lakini mbona muungwana huwa anaiacha na kupanda EMIRATES? Inasemekana kamati ya ufundi inamkataza kuipanda panda hiyo ndege na pia kutokaa muda mwingi Ikulu ; ndio maana Safari haziishi, akitoka Rome anakwenda Montego Bay baada ya hapo New York halafu Denmark!! Huyo ndiyo mvumbuzi wetu Vasco Dagama.
 
Duhhhh,

Last time niliona President Kaguta Museven akitua nayo Jomo Kenyatta Aiport na hiyo ndege ya rais wetu kipindikile cha machafuko yalikuwa yamepungua na alikuwa ameisha muunga mkono Kibaki kuwa ndie rais.

Nkajiuliza how Museven amewasili na ndege yetu hapa uwanjani why?? na Jioni yake na kwa TV news zikaonyesha mapokezi yake.

Nilijiuliza maswali je ndege iyo ilikodiwa au?????
 
Duhhhh,

Last time niliona President Kaguta Museven akitua nayo Jomo Kenyatta Aiport na hiyo ndege ya rais wetu kipindikile cha machafuko yalikuwa yamepungua na alikuwa ameisha muunga mkono Kibaki kuwa ndie rais.

Nkajiuliza how Museven amewasili na ndege yetu hapa uwanjani why?? na Jioni yake na kwa TV news zikaonyesha mapokezi yake.

Nilijiuliza maswali je ndege iyo ilikodiwa au?????

TGF uwa wanakodisha ndege zilizoko chini yao, ni pesa yako tu.
 
Mkuu unauhakika spares hakuna? au kuna jambo jingine?

sasa mbona haiko labaled zaidi ya sticker ya bendera tu.. ilitakiwa iwe na tumanjonjo flani at least..basi... we c unaona AIR FORCE .... au ndio wanahofia kuwa ikiwa easly spotted wadunguaji hawakawii kuitest ubora wake.. wakairushia Roketi ranger lol
 
sasa mbona haiko labaled zaidi ya sticker ya bendera tu.. ilitakiwa iwe na tumanjonjo flani at least..basi... we c unaona AIR FORCE .... au ndio wanahofia kuwa ikiwa easly spotted wadunguaji hawakawii kuitest ubora wake.. wakairushia Roketi ranger lol

Si kweli, kuna nembo ya taifa katikati ya dirisha la rubani.
1496783.jpg


Air Force One
Air_Force_One_on_the_ground.jpg
 
Back
Top Bottom