Ndege ya Rais wetu ipo Wapi?

waziri alisema ikibidi wananchi watakula nyasi ila ndege itanunuliwa
 
Anayeitumia kaipiga bei! Watuwanauza twiga itakuwa ndege?
 
Jamani ile ndege ilinunuliwa ikiwa mpya, ilikuwa imeshatumika miaka 20 tu, ambayo kwa ndege bado tunaiita mpya !
 
tupe ushahidi... mjinga wewe...

mi huwa nachukia sana wajinga wengine baada ya kujibu hoja mnaanza kuleta ujinga wenu humu... kama hamna cha kusema nyamazeni kabisa . untuharibia maana ya hii mitandao ya kijamii.
 
utabaki hapohapo ulipo wenzako wanasonga mbele wewe baki kuzua umbea tu,utakonda kwa umbea.
ah aaaaaaah taratibu mzazi usije mtoboa macho mwenzio!, istoshe umbea siku hizi mpango mzima kwani unasadikika kuondoa msongo wa mawazo, so kam dauni mzazi😛eep:
 
Kuna mwarabu amewa convince kwamba badala ya kukaa tu inachakaa bora aikodi ili serikali iingize mapato, ikaonekana ina make sense.... lakini sasa kwenye mkataba kumbe alichomeka kipengele cha "lease to buy" na anataka kuikatalia...
 
Ni Gulfstream 5, mimi sikuelewa wale waliokuwa wanapinga isinunuliwe, sasa Mkuu wa Nchi angesafiri na nini? Juzi nilisafiri na Quartar Air tulikuwa tumebanana kama ndizi, hata KLM kule economy hakuna ahueni, ile miaka ya 1980 ndege zilikuwa hazijai lakini sasa hali ni mbaya, dala dala kwa kwenda mbele. Labda usafiri Business Class au First Class, kwa gharama zipi?
 
Searching..................................................................................................................
 
Nenda terminal one kwa viongozi utaikuta. Tatizo akisafiri hatangazi anatumia ndege ipi, Ni vigumu kwako kujua, lkn inatumika sn tu
 
wakuu, bado sijapata jibu la kurudhisha juu ya hatma ya hii ndege. mbona watanzania hatuna uchungu ma mali zetu? Nasikia ndege imepaki tu ha haijatumika muda mrefu kwa nini watanzania tusihoji?
 

Mbona sijakuelewa hapo pekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…