CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,067
utabaki hapohapo ulipo wenzako wanasonga mbele wewe baki kuzua umbea tu,utakonda kwa umbea.
Hahahahah, amekugusa nn?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utabaki hapohapo ulipo wenzako wanasonga mbele wewe baki kuzua umbea tu,utakonda kwa umbea.
ukiona mtu anaanza kupalilia kaburi la marehemu babu yake basi ujue yamemfika.
Hv ndege ina rejeter??
Inachemkaga?
Jamani ile ndege ilinunuliwa ikiwa mpya, ilikuwa imeshatumika miaka 20 tu, ambayo kwa ndege bado tunaiita mpya !
tupe ushahidi... mjinga wewe...
May be ilipata/inapancha, you never know!!Gereji? ile si ilikuwa mpya kabisa
ah aaaaaaah taratibu mzazi usije mtoboa macho mwenzio!, istoshe umbea siku hizi mpango mzima kwani unasadikika kuondoa msongo wa mawazo, so kam dauni mzazi😛eep:utabaki hapohapo ulipo wenzako wanasonga mbele wewe baki kuzua umbea tu,utakonda kwa umbea.
waziri alisema ikibidi wananchi watakula nyasi ila ndege itanunuliwa
ipo ikulu.
ina maana kabla ya uamuzi wa kuinunua hawakufanya cost analysis hii? Nawauliza hawa watu wa PPRA?
Poleni na mjadala wa Katiba; mimi leo nimeota rais akiwa anapanda ndege imeandikwa Tanzania Air Force One; akielekea nje ya nchi; Nikiwa njiani kuja hapa kibaruani kwangu nikawaza maswali mengi tu bila kupata majibu sahihi; Je ndege hii ipo wapi? Je ina hali gani kwa sasa? Je ilishawahi kufanya safari ngapi nje na ndani ya nchi? ilinunuliwa bei gani? Nikifika aiport yetu huwa najitahidi sana kuangaza angaza ili walau niione lakini wapi? anyejua anijuze maana mali hii ni yetu sote watanzania.![]()
![]()
![]()