Tupatie evidence acha maneno mengi.Restructuring ilishafanyika na government ikaongeza shares, hii habari ni ya kitambo hata wewe unaona imeandikwa JULY 2017.
Overtaking on hunger?, poverty?, corruption?, police killings?, tribalism, insecurity?, slums, poor public transport?, big gap between rich and poor?. we are not interested at all[emoji2] [emoji2] [emoji2]Failed state but it's ahead of Tanzania. Overtake Kenya first then brag.
Muhimu ni kua bado munaisoma number.Overtaking on hunger?, poverty?, corruption?, police killings?, tribalism, insecurity?, slums, poor public transport?, big gap between rich and poor?. we are not interested at all[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankings
Nyie ndiyo mnaisoma namba, mnaanza kuweweseka, don't forget you are a failed stateMuhimu ni kua bado munaisoma number.
Aissee hii umeipata wapi? Nitumie namba yako angalau nikufurusjie vocha, umenifurahisha sana kama anavyonifurahisha huyo anayezinunua hizi ndege!
Dude lingine hilo
Most government owned logistics companies might not make much profits but in the long run contribute a lot to the economy. KQ might make a loss but it's made Kenya an African trabspotranspo hub and I don't have to explain the benefits of that - you're too dumb to understand anyway.Lakini kumbuka kwamba it is a loss making industry in Kenya, kwahiyo any industry ambayo Kenya imeizidi Tanzania ni failure, hii inathibitisha kwamba Kenya is a failed state.
CAG kama kasema kifutwe tu maana hatuwezi jenga ukuta mmoja miaka yotehata chadema haina faida kwa nchi kwa sababu inaendeshwa kwa hasara.
wewe ni bangi unavuta au nini? mmejifunza ndodi leo na sasa mnataka kupigana na Tyson(Kenya) jemeni mtakarangwa sana. unadhani kununua ndege na kufanyia biashara ya faida ni rahisi. mawazo duni kama yako ndio yamefanya nikawa sichangiii sana hapa JF manakwe kujadili na watu kama wewe kunanipunguza IQ yangu sana. wewe pumba tuKwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner
Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.
Hii ranging mbona haifanani na rangi ya ndege zingine?
Dude lingine hilo
Kenya anayo 7 tayari anayapeleka kwenye route zenye akili...New York City (JF Kennedy), Paris CDG, Amsterdam, London, Joburg, Bangkok, Guanzghou. Tuna mengi ya kujifunza,....Kushindanisha sisi na Kenya na kusema sisi ni bora sio uzalendo Bali ni unafiki hasa tena kwenye sector ya anga na uchumi, sifa moja ya uzalendo ni kujifakharisha na ukweli
KLM Ni zao wana 65% na 35%za kenyaKwenye mapato yote KQ ni 48% inaenda serikalini bado makato ya leasing bills na other expenses unaeza kuta hata hawana tofauti na precision air
Mkuu tunahitaji ushindani wa kibiashara na si kuwaondoa fastjet ujue pale tunapata kodi pia.Safi sana JPM wakati dude moja linaruka kuelekea uarabuni na China lingine linaruka Europe na Australia
zile nyingine mbili zinaruka South Africa na Uganda nyingine west Africa
Hizi ndogo ndio wakina Fast jet wajiandae kufunga virago sababu moto lazima uwake
Fahamu hii ni biashara na haina mda mrefu tangu ianze. Ni biashara iliyokuwa imekufa sasa inafufuliwa. Je unategemea waanze kupata faida ndani ya mda huu mfupi?zina faida Kwa nchi au zinaendeshwa Kwa hasara?
cag ebu tupe ukweli wa hizi ndege
zina faida Kwa nchi au zinaendeshwa Kwa hasara?
cag ebu tupe ukweli wa hizi ndege
Dude lingine hilo
Wakikuyu washatetemeka tayari ile route ya New York washaanza kuchemsha, huku mbabe ET nae anaanza route za New YorkLinaenda kuwavamia wa kikuyu huko nairobi haha kazi wanayo mkuu
ivi ile nyingine isha paa kwenda kurekebishwa?Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner
Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.