Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

images


Dude lingine hilo
Aissee hii umeipata wapi? Nitumie namba yako angalau nikufurusjie vocha, umenifurahisha sana kama anavyonifurahisha huyo anayezinunua hizi ndege!
 
Lakini kumbuka kwamba it is a loss making industry in Kenya, kwahiyo any industry ambayo Kenya imeizidi Tanzania ni failure, hii inathibitisha kwamba Kenya is a failed state.
Most government owned logistics companies might not make much profits but in the long run contribute a lot to the economy. KQ might make a loss but it's made Kenya an African trabspotranspo hub and I don't have to explain the benefits of that - you're too dumb to understand anyway.
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner



Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.

wewe ni bangi unavuta au nini? mmejifunza ndodi leo na sasa mnataka kupigana na Tyson(Kenya) jemeni mtakarangwa sana. unadhani kununua ndege na kufanyia biashara ya faida ni rahisi. mawazo duni kama yako ndio yamefanya nikawa sichangiii sana hapa JF manakwe kujadili na watu kama wewe kunanipunguza IQ yangu sana. wewe pumba tu
 
Kushindanisha sisi na Kenya na kusema sisi ni bora sio uzalendo Bali ni unafiki hasa tena kwenye sector ya anga na uchumi, sifa moja ya uzalendo ni kujifakharisha na ukweli
 
Kushindanisha sisi na Kenya na kusema sisi ni bora sio uzalendo Bali ni unafiki hasa tena kwenye sector ya anga na uchumi, sifa moja ya uzalendo ni kujifakharisha na ukweli
Kenya anayo 7 tayari anayapeleka kwenye route zenye akili...New York City (JF Kennedy), Paris CDG, Amsterdam, London, Joburg, Bangkok, Guanzghou. Tuna mengi ya kujifunza,....
 
Safi sana JPM wakati dude moja linaruka kuelekea uarabuni na China lingine linaruka Europe na Australia

zile nyingine mbili zinaruka South Africa na Uganda nyingine west Africa

Hizi ndogo ndio wakina Fast jet wajiandae kufunga virago sababu moto lazima uwake
Mkuu tunahitaji ushindani wa kibiashara na si kuwaondoa fastjet ujue pale tunapata kodi pia.
 
zina faida Kwa nchi au zinaendeshwa Kwa hasara?
cag ebu tupe ukweli wa hizi ndege
Fahamu hii ni biashara na haina mda mrefu tangu ianze. Ni biashara iliyokuwa imekufa sasa inafufuliwa. Je unategemea waanze kupata faida ndani ya mda huu mfupi?
Wakati wewe unaanza biashara ilikuchukua mda gani kupata faida?
 
Linaenda kuwavamia wa kikuyu huko nairobi haha kazi wanayo mkuu
Wakikuyu washatetemeka tayari ile route ya New York washaanza kuchemsha, huku mbabe ET nae anaanza route za New York
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner



Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.

ivi ile nyingine isha paa kwenda kurekebishwa?
 
Back
Top Bottom