Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

Inasikitisha sana kuona wengine wakiiombea NCHI YETU mabaya KILA kukicha.
Sijajua wana MAANA GANI. KAMA unakumbuka ndege ilivyokamatwa Canada ilikuwa FURAHA kwao.
unajua mkuu mi mwenyewe nilikuwa najiuliza sana hivi ni kwa nini kuna baadhi ya watanzania wanafurahi pale serikali inaposhindwa??nikaamua kufanya kautafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya watu wa dizaini hiyo ni wale ambao kiasili si watanzania,ni wale tuliowakaribisha tz kama wakimbizi na wengine wakapewa uraia,kama unakumbuka kuna kanyarwanda kamoja kaliwahi kutokea humu jf kutwa kuiponda tz!!na kumbe wazazi wake ni wanyarwanda waliokimbia genocide huko rwanda kenyewe kamezaliwa bongo !!kwa hiyo mkuu we achana nao tulishafanya kosa na sasa tunainuka "I love Tanzania.."
 
Dodoma international Airport nayo anytime construction inaanza

Mazingira ya aviation business yanazidi kuboreka kwa Tanzania kuwa na latest modern international Airports (6) kuna New 4 modern radars,

air Tanzania nayo ina modern aircrafts mfano hii dreamliner yetu ina 20% reduced oil combustion compared to the previous dreamliners so huwezi kucompate na hii mpya kwenye running expenses
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner


Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.

Aisee, hamfanyi maendeleo yenu kwa sababu ya Wakenya. Fanyeni kwa manufaa ya umma wa Tz. Mkikimbizana na Kenya kwa sababu ya kupimana nguvu hamtatoboa!
 
Naysayers hawakosi kaka
 
Mmaweza kuwa nazo 1000 lkn mkakosa willpower na markeing strategies. Tafuteni hizo kwanza
We chi.zi huwezi kununua petrol wakati hauna gari au chombo chochote cha kutumia hayo mafuta.

Andikisha watoto wengi wa kuanza shule ndo utagundua kuwa una upungufu wa madarasa kwa kiasi gani.

Ndege kwanza, willpower baadae
 
We chi.zi huwezi kununua petrol wakati hauna gari au chombo chochote cha kutumia hayo mafuta.

Andikisha watoto wengi wa kuanza shule ndo utagundua kuwa una upungufu wa madarasa kwa kiasi gani.

Ndege kwanza, willpower baadae
Aisee una akili nyingi km mjukuu wangu maana ninaporudi bibi yake akiniandalia chakula mezani anapanda juu ya meza halafu anaachilia mambo fulani. Hongera sana
 

Haaa kumbe ndivyo ilivyo. Kwa hiyo ile roho YAO mbaya bado inawatafuna. Kweli ukila nyama ya mtu hutakaa uache.
 
Huraaaa
Bravo ATCL the flag carrier
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
 
sasa somalia pia wana ndege nyie mnaimba nn?...watz mnatia aibuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Comment yangu yasiku hii
 
Kwenye mapato yote KQ ni 48% inaenda serikalini bado makato ya leasing bills na other expenses unaeza kuta hata hawana tofauti na precision air

Wewe mwenye unajua sana niambie ni ndege ngapi KQ imelease. Hivi mnaelewa kwamba KQ pia Ina ndege nyingi ilizolease out kwa airline zingine?
 
Wewe mwenye unajua sana niambie ni ndege ngapi KQ imelease. Hivi mnaelewa kwamba KQ pia Ina ndege nyingi ilizolease out kwa airline zingine?
KQ leases out planes at a loss, Because it is much more of a loss to have an aircraft sitting idle because you do not have money to operate it. In short, it leases out planes to reduce loss not to make profit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…