Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

Nina kuhurumia tu. Na huenda ni mgeni wa jukwaa hili. basi karibu kwenye jukwaa hili kama huliwezi rudi ulikotoka.

I'm always telling these guys to where they belong. THIS is a heavy weight sub forum. Hapa hatuongei mambo ya NCHI ya KUSADIKIKA YA Insta. Ambako wanatukana mpaka basi.
 
Hakuna ndege hapo ya cash, Kulingana na takwimu za mikopo ya KQ, 38% YA Kila ndege hizo zote ni mali ya benki. Lease ni za Jambo jet Q400.
Takwimu zako unatoa wapi? Probably ni guess work na assumptions. Ukisema 38% ndo unamaanisha nini, kila ndege ikona loan ya 38% au ni 38% of the fleet ndio ndege za loan?
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner

Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.
Huyu ndio msemaji wa serikali?
 
Takwimu zako unatoa wapi? Probably ni guess work na assumptions. Ukisema 38% ndo unamaanisha nini, kila ndege ikona loan ya 38% au ni 38% of the fleet ndio ndege za loan?
38% ni deni za KQ ambazo wali convert to shares sababu walishindwa kulipa deni za mabenki. Sasa wacha hata hizo Ndege, hata viti,meza na kalamu 38% ni deni ya mabenki.
Kenya Airways - Wikipedia
 
38% ni deni za KQ ambazo wali convert to shares sababu walishindwa kulipa deni za mabenki. Sasa wacha hata hizo Ndege, hata viti,meza na kalamu 38% ni deni ya mabenki.
Kenya Airways - Wikipedia
Kampuni kua deni haimaanishi hio deni iko attached to all company assets. Kampuni karibu zote kubwa hii dunia wakona madeni. If the debt was converted to capital interms of shares wapi deni hapo?
 
Wewe mwenye unajua sana niambie ni ndege ngapi KQ imelease. Hivi mnaelewa kwamba KQ pia Ina ndege nyingi ilizolease out kwa airline zingine?
na wewe utuoneshe ni ndege ngap kq imenunua cash
nyie munafanya sub lease, munakodisha na nyie pia munawakodishia wengine usitake kutudanganya hapa ntakuumbua sasa hviπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
KQ leases out planes at a loss, Because it is much more of a loss to have an aircraft sitting idle because you do not have money to operate it. In short, it leases out planes to reduce loss not to make profit

na hio wanafanya sub lease wanakodisha ndege ambazo wamekodi
 
Utalii hauwezi kukua kama usafiri wa anga ni wa kutatanisha

sijui kama hizo ndege zinafaida au hasara katika uendeshaji wake ila jambo moja la msingi ambalo tufanye kama ndege zinaleta hasara Kwa taifa ni kuziuza na pesa hio iwekezwe kwenye miundombinu ya reli za umeme na barabara siendazo kwenye hivyo vivutio vya utalii kuliko kuendelea na hasara ya kuendesha hizo ndege
 
Unafikiria Kwa mapua nini? Mimi nimeuliza ndugu yako anayeongea mambo haelewi swali Kisha unaniquote ukiuliza swali lilo hilo nililouliza.
onesha ndege ambazo nyie mumewakodishia watu nje ya neno sub lease tunasubiri
 
Ukishakaa TANZANIA ukawajua WATANZANIA tabia zao halisi hutopata shida.wakati mwingine naona MAGUFULI anapofanya kitu bila kusikiliza watu ni bora maana binadamu jema hatuna
 
Unafikiri zisingekua na faida zingenunuliwa au akili za kinyumbu ndio zinawatuma hvyo

hivi ww mtu mzima pumba kichwani ulishasikia report ya hizo ndege kuwa zina faida au hasara.
Mbona kila anaehoji maendeleo unamuona anapingana nayo.
Alafu watu wakijadili mambo ya msingi uwe unaacha akili zako za chama nyumbani au kwenye office ya chama uje ujadili kitu vyenye mantiki Kwa taifa
 
Kampuni kua deni haimaanishi hio deni iko attached to all company assets. Kampuni karibu zote kubwa hii dunia wakona madeni. If the debt was converted to capital interms of shares wapi deni hapo?
When you convert debt to equity, you cede voting rights and directorships. These new directors represent the banks and their mandate is to payback their loans and exit.. So yes 38% of all assets owned by KQ belongs to the banks even the tissue paper in their toilets.
 
Kwahiyo tutakuwa na ndege 2 kubwa boeing 787 dreamliner

Wakenya wanadhani Tanzania tunatania. Hapa kutakuwa na ushindani wa nguvu. Na sisi lengo letu ni kuwaleta watalii nchini mwetu.
Wewe unacheza sana. Sisi tuna ndege zaidi ya ishirini including dreamliner lakini tumetulia mpaka unatuona wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…