Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

Ndege ya saba boeing 787 dreamliner

When you convert debt to equity, you cede voting rights and directorships. These new directors represent the banks and their mandate is to payback their loans and exit.. So yes 38% of all assets owned by KQ belongs to the banks even the tissue paper in their toilets.
And who owns over 48% of the tissue papers?
 
unajua mkuu mi mwenyewe nilikuwa najiuliza sana hivi ni kwa nini kuna baadhi ya watanzania wanafurahi pale serikali inaposhindwa??nikaamua kufanya kautafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya watu wa dizaini hiyo ni wale ambao kiasili si watanzania,ni wale tuliowakaribisha tz kama wakimbizi na wengine wakapewa uraia,kama unakumbuka kuna kanyarwanda kamoja kaliwahi kutokea humu jf kutwa kuiponda tz!!na kumbe wazazi wake ni wanyarwanda waliokimbia genocide huko rwanda kenyewe kamezaliwa bongo !!kwa hiyo mkuu we achana nao tulishafanya kosa na sasa tunainuka "I love Tanzania.."
Najivunia kuitwa mtanzania na napenda watanzania wenzangu wanaoitetea nchi yetu. Mungu akubariki.
 
And who owns over 48% of the tissue papers?
48% is such a small share for the government considering its supposed to be a national carrier. Nothing to be proud about, and sadly the rest of the shareholders are not people who need to see KQ grow, nope they want their moneyback their core business is banking not airlines.
 
Rwanda iliponunua ndege mpya za kisasa walianza kuponda serikali yetu kuwa haina maana tunazidiwa mpaka na Rwanda? Leo hii wameshageuka tena ndege hazina faida yoyote Kwao

Hapa suala sio mradi kuwa na ndege bali hizo ndege tuna uwezo wa kuziendesha bila kupata hasara!! Kenya wamenunua hizo ndege aina ya dreamliner na wanalia kwa shirika lao kupata hasara!! Magufuli ana haraka gani kukurupuka kununua hizo ndege dreamliner;badala ya kwenda taratibu akiangalia kama hizo Bombadier zake zitaendeshwa kwa faida ndipo aendelee kununua nyingine kutokana na faida itakayopatikana!!! KULIKONI? We urge the government to invest wisely!
 
ATCL haijawahi pata faida tangu miaka ya 70 na hata sasa bado Nazingoja data za kuonyesha kampuni iki break even... somebody tag me if the above is wrong. 😀😀
 
Hapa suala sio mradi kuwa na ndege bali hizo ndege tuna uwezo wa kuziendesha bila kupata hasara!! Kenya wamenunua hizo ndege aina ya dreamliner na wanalia kwa shirika lao kupata hasara!! Magufuli ana haraka gani kukurupuka kununua hizo ndege dreamliner;badala ya kwenda taratibu akiangalia kama hizo Bombadier zake zitaendeshwa kwa faida ndipo aendelee kununua nyingine kutokana na faida itakayopatikana!!!
sasa kwa akili yako bombadier ndio zitaenda kufata watalii nje??? we unaakilia au matope
lengo moja wapo ni kukuza utalii
 
ATCL haijawahi pata faida tangu miaka ya 70 na hata sasa bado Nazingoja data za kuonyesha kampuni iki break even... somebody tag me if the above is wrong. 😀😀
na hio kq inayo run loss leo miaka 5 mfululizo haina nafuu😀😀😀😀
 
na hio kq inayo run loss leo miaka 5 mfululizo haina nafuu😀😀😀😀
Kwa hivyo unakubaliana na Mimi ATCL imekuwa na bado inarun on losses mfululizo for 40+ years? 😀😀 and KQ for 5 years making ours the lesser evil 😀😀
 
48% is such a small share for the government considering its supposed to be a national carrier. Nothing to be proud about, and sadly the rest of the shareholders are not people who need to see KQ grow, nope they want their moneyback their core business is banking not airlines.
It's still majority of the shares. And all those banks that converted their debts to equity are all Kenyan banks and after the restructuring KQ is back to making profit. Sit back relax and watch us fly high as usual. Qatar government bought 50% of shares from other share holders so the government can still do a buyout later own.
 
Kwa hivyo unakubaliana na Mimi ATCL imekuwa na bado inarun on losses mfululizo for 40+ years? 😀😀 and KQ for 5 years making ours the lesser evil 😀😀
yani tumeanza kuingiza ndege mwaka jana mwishoni umeshaanza kulia hehe 😀😀😀 tena cash deal hakuna loan wala leasing contarct tulia ziingie ndege zote 7 mwaka huu alaf ndio mutajua tunaongea nn
 
sasa kwa akili yako bombadier ndio zitaenda kufata watalii nje??? we unaakilia au matope
lengo moja wapo ni kukuza utalii

Huna akili nzuri hao watalii utakaokwenda kuwachukua na hizo ndege utakuwa unawachukua kila siku kwani wao hawana kazi zao? Biashara ya watalii ni ya msimu na ndege haitakiwi kukaa ardhini ,kila wakati isipokuwa inapokuwamatengenezo inatakiwa kuwa hewani!! Msifanye mambo kwa kuiga mtapasuka.

Halafu kwa tarifa yako, biashara ya Utalii ni very sensitive kwa hali ya usalama wa nchi; wewe unategemea kuwa watalii watakuja wakati kila siku askari wanaranda randa na mabunduki barabarani? Jinsi nchi inavyoendeshwa ndio inayoweza sababisha kufaidika na biashara hiyo au la, sio kuwa na ndege tu!!!
 
Huna akili nzuri hao watalii utakaokwenda kuwachukua na hizo ndege utakuwa unawachukua kila siku kwani wao hawana kazi zao? Biashara ya watalii ni ya msimu na ndege haitakiwi kukaa ardhini ,kila wakati isipokuwa inapokuwamatengenezo inatakiwa kuwa hewani!! Msifanye mambo kwa kuiga mtapasuka.
na do u expect kua hzo ndege zitaenda sehemu moja kila siku???nimekwambia utalii ni moja ya sababu ziko sababu nyingi lakin nimekutolea moja tu

so unamaumivu makali sana kwasababu tz imenunua ndege brand new cash deal 7 kwa pamoja??
 
Hizi ni habar mbaya sana kwa WASALITI Nambari Wani Tz"Chadema"
FB_IMG_1525105731267.jpg
 
"Heshima ya nchi ni ndege" By Jiwe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
It's still majority of the shares. And all those banks that converted their debts to equity are all Kenyan banks and after the restructuring KQ is back to making profit. Sit back relax and watch us fly high as usual. Qatar government bought 50% of shares from other share holders so the government can still do a buyout later own.
You know nothing about company restructuring and even more nothing on KQ shareholding. Suit yourself
 
Hapa suala sio mradi kuwa na ndege bali hizo ndege tuna uwezo wa kuziendesha bila kupata hasara!! Kenya wamenunua hizo ndege aina ya dreamliner na wanalia kwa shirika lao kupata hasara!! Magufuli ana haraka gani kukurupuka kununua hizo ndege dreamliner;badala ya kwenda taratibu akiangalia kama hizo Bombadier zake zitaendeshwa kwa faida ndipo aendelee kununua nyingine kutokana na faida itakayopatikana!!! KULIKONI? We urge the government to invest wisely!
Hoja yako ni uharaka wa manunuzi?
 
Back
Top Bottom