luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Mjinga wa mwisho duniani. Hiyo yenu mpya mbona ilikuwa imekwama?Ama mliuziwa ndege mtumba?Hii mindege ya miaka ya 60 inatakiwa ipelekwe recycling plant, KQ ina ndege ambazo modern aviation radars hazizitambui.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndege imechakaa mpaka rangi ya bendera haijulikani ni ya Pakistan au India
ingekuwa bongo majirani wange tunanga sanaaa humu JF ...Ila kweli hii ingekuwa bongo hii.....
Hahaha, hawakawii kusema tumefanya hujuma mpaka kadege kao kakapigwa winch🙂ingekuwa bongo majirani wange tunanga sanaaa humu JF ...
Naam threads za kubeza non stop mkuu.Ila kweli hii ingekuwa bongo hii.....
Ndege imechakaa mpaka rangi ya bendera haijulikani ni ya Pakistan au India