luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ndugu zetu wa Kenya tunawapenda sanaaaa !! Baada ya siku kupita kufuatia sakata la umiliki wa ndege zenye jina la Kenya airways ambapo imbunge mmoja huko Kenya alihoji umiliki wa Ndege izo Sasa huko TZ ndege ya shirika ilo imeonekana ikibebwa na Winchi hii ni kufuatia ndege iyo kuwa mbovuuu japo bado haijambulika tatizo la ndege iyo lkn tazama iyo linki kwa kushuhudia zaidi
Hahahahah last week Kenya laugh at Tanzanian's flag carrier over manual push back and look now their Boeing is pulled by winch
Hahahahah last week Kenya laugh at Tanzanian's flag carrier over manual push back and look now their Boeing is pulled by winch