Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Eti kumwacha mbali Jordan!
May hata nusu ya utajiri wa Jordan hana.
Tofautisha kati ya official fights na exhibition fights.Hao akina Canelo ndio wakupigana nao si hawa wacheza Judo na Karate.
Floyd ana USD Milion 560 na Michael Jordan ana USD 1.9 Bilion.Unajua Michale Jordan ana utajiri wa kiasi gani na Floyd ana utajiri wa kiasi gani?
Unajua kuna kiasi gani cha pesa kimewekwa kwa ajili ya rematch kati yake na Canelo?
Unajua kwamba Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa ukimtoa Floyd Mayweather????
Unajua ni kiasi gani cha pesa anachotumia Floyd kwa ajili ya starehe???
Sifahamu ila hizo exhibition fight zinazingua.Tofautisha kati ya official fights na exhibition fights.
Unajua kwamba Tank mwezi wa saba atafanya exhibition fight na Tenshin?
Unajua kwamba hata Mike Tyson na Muhammad Ally na wao walishafanya exhibition fights?
Zinazingua kivipi?Sifahamu ila hizo exhinition fight zinazingua.
Huyo Jordan anatumia pesa kiuoga huwezi kumfananisha na Floyd.Floyd ana USD Milion 560 na Michael Jordan ana USD 1.9 Bilion.
Unajua Michale Jordan ana utajiri wa kiasi gani na Floyd ana utajiri wa kiasi gani?
Unajua kuna kiasi gani cha pesa kimewekwa kwa ajili ya rematch kati yake na Canelo?
Unajua kwamba Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa ukimtoa Floyd Mayweather????
Unajua ni kiasi gani cha pesa anachotumia Floyd kwa ajili ya starehe???
Pambana ,fanya kazi kwa bidii na maarifa utafanikiwa kununua hiyo baiskeli.
Jordani hata akisema atumie kama atumiavyo Floyd ,bado Floyd hamfikii wewe jiulize Jordani kwa siku anauza viatu pair ngapi,bado kuna mikufu na t-shirt zake ,kwa kifupi Jordan anaingiza hela kila siku.Huyo Jordan anatumia pesa kiuoga huwezi kumfananisha na Floyd.
Sasa unajua ametengewa kiasi gani ili akubali kurudi tena ulingoni?Bosi: Michael Jordan ana estimated net worth ya USD 1.9 bil.
Mayweather ana around USD 750 mil. Maana yake ili afike nusu ya Jordan anatakiwa kupata USD 200 mil kwenye hilo pambano.
View attachment 1041619
View attachment 1041623
Umelielewa vizuri bandiko langu?Jordani hata akisema atumie kama atumiavyo Floyd ,bado Floyd hamfikii wewe jiulize Jordani kwa siku anauza viatu pair ngapi,bado kuna mikufu na t-shirt zake ,kwa kifupi Jordan anaingiza hela kila siku.
Huyo Jordan anatumia pesa kiuoga huwezi kumfananisha na Floyd.
Nimekuelewa sababu hata Dau likiwa kuwa vip lakini nina uhakika halizidi,200 m USD wakati Jordani kila mwaka anaingiza zaidi ya hiyo.Umelielewa vizuri bandiko langu?
Sasa unajua ametengewa kiasi gani ili akubali kurudi tena ulingoni?
Ina maana wote ao Aliko dangote kawakimbiza?Floyd ana USD Milion 560 na Michael Jordan ana USD 1.9 Bilion.
Siongei vitu juu juu bali ninaongea kutokana na uhalisia.Basi usiwe unafanya conclusion kabla ya kutafit.
Ni aibu kusema eti atampita mbali Jordan, kama ni vijiweni unaweza kueleweka, ila humu siyo rahisi.