Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Genius wa boxing Floyd Sinclair Joy Mayweather azidi kuonesha jeuri ya fedha kwa kuonesha dege lake la tano kulimiliki kwa sababu ameona ndege nne hazimtoshi yeye pamoja na wapambe wake.

Vilevile kuna tetesi za chinichini kuna uwezekano akapanda tena ulingoni kupambana na Saul Arvarez (Canelo) baada ya mechi kati ya Canelo Vs Daniel Jacobs .

Mechi hiyo kati ya Floyd na Canelo kama itafanikiwa ,Floyd ataingiza kiasi kikubwa sana cha pesa na kuwaacha mbali sana wanamichezo wenzake akiwemo Michael Jordan na Tiger Woods.

Floyd kwa sasa ameshika nafasi ya nane ya wanamichezo wenye pesa nyingi zaidi duniani huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Michael Jordan.

floydmayweather-20190309-0001.jpeg
 
Hao akina Canelo ndio wakupigana nao si hawa wacheza Judo na Karate.
 
Unajua Michale Jordan ana utajiri wa kiasi gani na Floyd ana utajiri wa kiasi gani?

Unajua kuna kiasi gani cha pesa kimewekwa kwa ajili ya rematch kati yake na Canelo?

Unajua kwamba Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa ukimtoa Floyd Mayweather????

Unajua ni kiasi gani cha pesa anachotumia Floyd kwa ajili ya starehe???
Eti kumwacha mbali Jordan!

May hata nusu ya utajiri wa Jordan hana.
 
Unajua Michale Jordan ana utajiri wa kiasi gani na Floyd ana utajiri wa kiasi gani?

Unajua kuna kiasi gani cha pesa kimewekwa kwa ajili ya rematch kati yake na Canelo?

Unajua kwamba Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa ukimtoa Floyd Mayweather????

Unajua ni kiasi gani cha pesa anachotumia Floyd kwa ajili ya starehe???
Floyd ana USD Milion 560 na Michael Jordan ana USD 1.9 Bilion.
 
Tofautisha kati ya official fights na exhibition fights.

Unajua kwamba Tank mwezi wa saba atafanya exhibition fight na Tenshin?

Unajua kwamba hata Mike Tyson na Muhammad Ally na wao walishafanya exhibition fights?
Sifahamu ila hizo exhibition fight zinazingua.
 
Sifahamu ila hizo exhinition fight zinazingua.
Zinazingua kivipi?

Hakuna alichokiacha kwenye boxing

Ameshawatandika vya kutosha mabondia tishio wote kuanzia Cotto,Hatton,Oscar De La Hoya,Pacquiao,Maidana,Canelo,Zabb Juddah,Marquez etc .
 
Unajua Michale Jordan ana utajiri wa kiasi gani na Floyd ana utajiri wa kiasi gani?

Unajua kuna kiasi gani cha pesa kimewekwa kwa ajili ya rematch kati yake na Canelo?

Unajua kwamba Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa ukimtoa Floyd Mayweather????

Unajua ni kiasi gani cha pesa anachotumia Floyd kwa ajili ya starehe???

Bosi: Michael Jordan ana estimated net worth ya USD 1.9 bil.

Mayweather ana around USD 750 mil. Maana yake ili afike nusu ya Jordan anatakiwa kupata USD 200 mil kwenye hilo pambano.

Screenshot_20190309-155843.jpg

Screenshot_20190309-155305.jpg
 
Jordani hata akisema atumie kama atumiavyo Floyd ,bado Floyd hamfikii wewe jiulize Jordani kwa siku anauza viatu pair ngapi,bado kuna mikufu na t-shirt zake ,kwa kifupi Jordan anaingiza hela kila siku.
Umelielewa vizuri bandiko langu?
 
Basi usiwe unafanya conclusion kabla ya kutafit.

Ni aibu kusema eti atampita mbali Jordan, kama ni vijiweni unaweza kueleweka, ila humu siyo rahisi.
Siongei vitu juu juu bali ninaongea kutokana na uhalisia.

Floyd akikubali kurudi tena ulingoni kwa ajili
ya rematch kati yake na Canelo atakuwa mbali sana na lazima aingize kiasi kikubwa sana kupitia PPV.
 
Back
Top Bottom