Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Jay Zee yuko smart sana ..hata P diddy ni type izo za sakina Jay z ..sasa hawa vijana wa Siku hiz akina mayweither wakifika umri wa sakina jayz status zao zitakuwa hatarini kutoweka..

Sent using Jamii Forums mobile app

Moja ya watu LeBron James anasema walisababisha aone kama inawezekana kuwa Tajiri kwa blacks ni Diddy, Jay Zee na Dr Dre.

In fact wakati Dre anauza Beats By Dre kwa Apple, LeBron alitengeneza $30 mil kwenye hilo dili, maana alikuwa amewekeza haizidi $2 mil.

Jamaa wamekuwa inspirational sana kwa blacks.
 
Wewe huna unachokijua zaidi ya kuruka ruka
Wewe unaongelea starehe??
Ndo matumizi ya pesa hayo??
Kununua ndege tano, kumiliki magari dazeni, sasa saiv Floyd akidanja atakuwa ameacha nini cha kukumbukwa? Danguro? Ndge tano?

Acha ushamba mkuu..

Kam wazungu wangekuwa na akili za akina mayweitha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hivyo, May huwa ana kaushamba fulani/ limbukeni just like most of black Americans ambao wamekuwa successful. Sijui kwanini anashindwa kuwa humble kama Antony Joshua(AJ), yule naonaga ana akili za wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Blacks weng wa USA wana ile inferiority complex so wanaona kutumia pesa ovyo ni ujanja ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabondia wa Marekani wenye majina wenyewe wanatamani kupata pambano naye lakini hawapati, ni bahati kupata pambano naye, maana hata ukipigwa unapata jina na hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Maidana alikuwa tajiri mkubwa baada ya kupigana na Floyd ,na aliachana kabisa na masuala ya boxing kwa kunogewa na pesa ,pesa zimemuishia kwa sasa anataka kurudi tena ulingoni.


Au Conor alikuwa na utajiri wa kawaida tu ila baada ya pambano na yeye amekuwa miongoni mwa wanamichezo wenye mkwanja mrefu.
 
Hivo ndo ile inafika mida status yako inapotea ..unajua wazungu washenz sana! wanamuacha aponde mali status ikipotea wanakuundia li bomu wakufilisi ..sasa Mayweither akuwekeza vya kutosha ndo inakula kwake..

Sent using Jamii Forums mobile app
Floyd ni bondia mwenye akili zaidi kuliko bondia yeyote yule unayemjua.

Floyd kwa kuzingatia masuala ya maslahi alishawahi kumfukuza kazi baba yake mzazi kitu ambacho wengi wasingekiweza.

Floyd ndiye bondia wa kwanza kumiliki lebo yake mwenyewe.

Floyd asilimia kubwa ya mapambano yake yote anayasimamia mwenyewe ,alishakataa mambo ya mapromota kitambo sana kwa hiyo mapato yote yanaingia kwake moja kwa moja.Zamani alikuwa chini ya Bob Arum promota ambaye anamsimia Pacquiao.
 
Ndo hivyo, May huwa ana kaushamba fulani/ limbukeni just like most of black Americans ambao wamekuwa successful. Sijui kwanini anashindwa kuwa humble kama Antony Joshua(AJ), yule naonaga ana akili za wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Floyd anawajua watu kama nyinyi ndio maana huwa anawaambia mafanikio yake yatakufanya uchukie au uhamasike zaidi kwenye kutafuta.
 
Fifty ana zaidi ya Usd 150mil, ila baada ya hiyo issue sasa hivi inaonesha eti ana 30 mil.

Wakati ana bifu na Rick Ross, alipost kwenye mitandao picha za Baby Mama wa Rick Ross akiwa uchi (+sex tape).

Mama wa watu kapeleka kesi mahakamani na ikaamuliwa 50 alipe $ 7 mil, ndipo aka declare bankruptcy ili ionekane hana hela ya kulipa.
Duh 50 kumbe alikuwa na 150 tu..hahaha halafu uo ujinga qa kupost dem wa jamaa akiwa uchi ndo ushamba wenyewe uo mkuu..

Hata mim ningedai aise..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ndio labda huelewi maana ya net worth umeshaambiwa mtu ana $750m unakuja kusema unajua thamani ya casino aliyojenga. Net worth inajumuisha mali zako zote za thamani unazomiliki.

Na kila mwaka tutaangalia kiasi gani umeingiza tuone kama umeongeza au umepungua...usikute huyo mayweather unaemsifia miaka miwili iliyopita alikuwa na hela zaidi ya hizo lkn sasa zimepungua.


Halafu kama ww ni mdau wa boxin utajua sasa hivi jamaa sio hot cake namna hiyo mpk apewe pambano litakalompa hata $150m.
Kama ile tu exhibition fight alilipwa pesa nyingi kiasi kile sembuse mechi na Canelo
 
Back
Top Bottom