Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Jay Zee yuko smart sana ..hata P diddy ni type izo za sakina Jay z ..sasa hawa vijana wa Siku hiz akina mayweither wakifika umri wa sakina jayz status zao zitakuwa hatarini kutoweka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongelea starehe??Wewe huna unachokijua zaidi ya kuruka ruka
Blacks weng wa USA wana ile inferiority complex so wanaona kutumia pesa ovyo ni ujanja ..Ndo hivyo, May huwa ana kaushamba fulani/ limbukeni just like most of black Americans ambao wamekuwa successful. Sijui kwanini anashindwa kuwa humble kama Antony Joshua(AJ), yule naonaga ana akili za wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hassan Mwakinyo atakufa ulingoni akipambana na jamaa.
Kama Maidana alikuwa tajiri mkubwa baada ya kupigana na Floyd ,na aliachana kabisa na masuala ya boxing kwa kunogewa na pesa ,pesa zimemuishia kwa sasa anataka kurudi tena ulingoni.Mabondia wa Marekani wenye majina wenyewe wanatamani kupata pambano naye lakini hawapati, ni bahati kupata pambano naye, maana hata ukipigwa unapata jina na hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayo ni mawazo yako mkuu..Ndio akili za Watanzania hizi ,huwa mnaumia kuona mafanikio ya wenzenu mnatamani leo kesho afilisike.
Somehow ana muogopa hata mungu ila huyu Mknd hana hata hofu ya mungu kwa ufuska na kuwadhalilisha wanawake kwa kuwachezesha uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya Mungu ni masuala ya kiimani tu na hayana uhalisia wowote.Somehow ana muogopa hata mungu ila huyu Mknd hana hata hofu ya mungu kwa ufuska na kuwadhalilisha wanawake kwa kuwachezesha uchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili timamu?
Tatizo nn pumzi auHassan Mwakinyo atakufa ulingoni akipambana na jamaa.
Yani kwa ufupi ni kwamba anapata pesa nyingi lakini hana investment yeyote ..Ni zake na hazina matumizi.... Ngoja nasi tupambane na hali zetu inshallah tutatoboa one day yes..... [emoji123][emoji123][emoji123][emoji108][emoji123]
Jr[emoji769]
Floyd ni bondia mwenye akili zaidi kuliko bondia yeyote yule unayemjua.Hivo ndo ile inafika mida status yako inapotea ..unajua wazungu washenz sana! wanamuacha aponde mali status ikipotea wanakuundia li bomu wakufilisi ..sasa Mayweither akuwekeza vya kutosha ndo inakula kwake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Floyd anawajua watu kama nyinyi ndio maana huwa anawaambia mafanikio yake yatakufanya uchukie au uhamasike zaidi kwenye kutafuta.Ndo hivyo, May huwa ana kaushamba fulani/ limbukeni just like most of black Americans ambao wamekuwa successful. Sijui kwanini anashindwa kuwa humble kama Antony Joshua(AJ), yule naonaga ana akili za wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anazo investments nadhani... Pia ana hisa kwenye makampuni makubwa... Anyway asilaumiwe hata sisi tungefanya kama yeye tena pengine kumzidiYani kwa ufupi ni kwamba anapata pesa nyingi lakini hana investment yeyote ..
Ila sisi tupambane na hali zetu tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona ulivyokuwa na akili finyu?Sibishani na mtu zezeta na limbukeni mkuu. Kama ulifikiri unapostia mademu wako hapa jamiiforum get out of ma way
Sent using Jamii Forums mobile app
Juhudi na maarifa ndizo nguzo pekee za mafanikio.Ni zake na hazina matumizi.... Ngoja nasi tupambane na hali zetu inshallah tutatoboa one day yes..... [emoji123][emoji123][emoji123][emoji108][emoji123]
Jr[emoji769]
Endelea kuota.Jay Zee yuko smart sana ..hata P diddy ni type izo za sakina Jay z ..sasa hawa vijana wa Siku hiz akina mayweither wakifika umri wa sakina jayz status zao zitakuwa hatarini kutoweka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh 50 kumbe alikuwa na 150 tu..hahaha halafu uo ujinga qa kupost dem wa jamaa akiwa uchi ndo ushamba wenyewe uo mkuu..Fifty ana zaidi ya Usd 150mil, ila baada ya hiyo issue sasa hivi inaonesha eti ana 30 mil.
Wakati ana bifu na Rick Ross, alipost kwenye mitandao picha za Baby Mama wa Rick Ross akiwa uchi (+sex tape).
Mama wa watu kapeleka kesi mahakamani na ikaamuliwa 50 alipe $ 7 mil, ndipo aka declare bankruptcy ili ionekane hana hela ya kulipa.
Kama ile tu exhibition fight alilipwa pesa nyingi kiasi kile sembuse mechi na CaneloWw ndio labda huelewi maana ya net worth umeshaambiwa mtu ana $750m unakuja kusema unajua thamani ya casino aliyojenga. Net worth inajumuisha mali zako zote za thamani unazomiliki.
Na kila mwaka tutaangalia kiasi gani umeingiza tuone kama umeongeza au umepungua...usikute huyo mayweather unaemsifia miaka miwili iliyopita alikuwa na hela zaidi ya hizo lkn sasa zimepungua.
Halafu kama ww ni mdau wa boxin utajua sasa hivi jamaa sio hot cake namna hiyo mpk apewe pambano litakalompa hata $150m.
Hahahahahaha amebakiza jina tu ..tena sehem chache sana mf Chicago vile..