OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Ahaa hadi ile series ya Power kumbe ni 50 ndo anaimiliki..!!Ni balozi wa vinywaji kadhaa, na ndiye mmiliki wa series ya Power, anaigiza movies pia.
Ukiingia google ukasearch investments zake utaona, si baba yuko njema.
Apana mkuu kacheki vizuri jarida Forbes la mwaka jana ..ni $14 bilion...Aliko Dangote Net worth: US$10.5 billion.......
Ahaa hadi ile series ya Power kumbe ni 50 ndo anaimiliki..!!
Hata hivyo jamaa naona Yuko bize na movie sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu pekee namzidi Mayweather ni urefu kwa cm kadhaa.....hahah.Bosi: Michael Jordan ana estimated net worth ya USD 1.9 bil.
Mayweather ana around USD 750 mil. Maana yake ili afike nusu ya Jordan anatakiwa kupata USD 200 mil kwenye hilo pambano.
View attachment 1041619
View attachment 1041623
Kwaio mtu ukijua ayo mambo... inakusaidia niniUnajua Michale Jordan ana utajiri wa kiasi gani na Floyd ana utajiri wa kiasi gani?
Unajua kuna kiasi gani cha pesa kimewekwa kwa ajili ya rematch kati yake na Canelo?
Unajua kwamba Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa ukimtoa Floyd Mayweather????
Unajua ni kiasi gani cha pesa anachotumia Floyd kwa ajili ya starehe???
Kweli mkuu hii ni golden Era ..Kwa umri wake sasa hivi Movie ni right place, sasa hivi hiphop vijana wame takeover.
Utakuta wanatrend kina Migos, Future, Chance The Rapper, 21 Savage, J Cole, Drake, Kendrick Lamar na madogo wengine. Yeye amebaki ni old school kwa sasa.
Ukiangalia hata hiphop kuna trending saa hizi ya Trap music naona inauza sana ambapo yeye hawezi tena kwa age yake.
Wewe hujui unachokipinga.Wewe unaongelea ushabiki, sisi tunaongea FACTS, hatuwezi kuelewana.
Umefuata nini katika huu uzi?
Wewe ujanja wako upo wapi?Hebu ficha ujinga wako Hance Mtanashati
Endelea kuota.
Floyd kwa black community hadhi yake ni kama OJ tuHuyu tangu awatete Gucci . Hilo pambano kwenye black community wataangalia yeye na watoto wake!