Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Magufuli alikuwa ni mpumbavu na ni kweli hakupevuka kielimu kama makaratasi yake ya kubumba.

Serikali za nchi zinazojielewa, kama wakiona waliingia cha kike kwenye mkataba, hawauvunji bali wanatengeneza mazingira magumu kwa huyo mwekezaji mpaka mwenyewe anatema mzigo, kama kumuongezea kodi za hapa na pale na kumpiga faini kila kukicha kwa makosa ukiukwaji wa sheria kama za mazingira na kutembeza inspection za papo kwa papo mpaka mwenyewe anaona hatakiwi.

Lakini lile jinga la vijijini halina upeo huo, na katusababishia gharama nyingi za madai.
 
Kwanini JPM alivunja mkataba? Anayejua tafadhali tupe story kamili ili tuelewe iwapo JPM alifanya makosa.
Inawezekana ni JMK ndiye aliyetaka kuuza nchi yetu afu tunamlaumu JPM
 

..hizo kesi zilifunguliwa wakati magufuli bado ni raisi wetu.

..hayo makampuni hayakusubiri magufuli afe.

..suala hili liliwahi kuulizwa bungeni na Zitto Kabwe lakini Waziri wa Sheria Prof.Kabudi akagoma kulieleza bunge na taifa kuwa kuna kesi 13 zilifunguliwa dhidi yetu kwasababu ya kuvunja mikataba kibabe/kijinga.
 
Kama hujui uhuni unaofanywa nyuma ya pazia namafisadi nirahisi sana kumlaumu Magu kwa kuvunja huo mkataba.
 
Kama hujui uhuni unaofanywa nyuma ya pazia namafisadi nirahisi sana kumlaumu Magu kwa kuvunja huo mkataba.
Ku break contact utaingia gharama za miaka yote ambayo mtu atawekeza!! Tatizo ni CCM kuingia mikataba mibovu!!
 
kesi zote ni mkataba mpya wa mwendazake na wenzake kina kabudi na yule profesa uchwara mwengine, zinatutokea puani sasa.
Eti profesa uchwara. Huna hata aibu? Kwa nini wanadai sasa kama sio wanajua wana washirika kwenye hii serikali ya wapigaji. Unafikiri magufuli hakua na msingi wa kisheria kuwavurumisha hao wajanja zulumati waliyokua wanaweka mitego ya ulanguzi kwa kujidai uwekezaji?
 
Autowe wapi msingi wa kisheria?

Mbona alipominywa P alinywea? Kaminywa kidogo Canada, akaminywa kidogo South Africa, akaambiwa na zile zote ulizoagiza zinaweza zisituwe Tanzania na hizo ndege hzinaweza zisivuke anga ya Tanzania, mwenyewe akaachia.

Huwezi kujimwambafai kijinga duniani. Yule mtu alikuwa fala sana, hivi hamuijuwi historia ya Tanzania, Nyerere alivyominywa kwa kujimwambafai? Au na nyie vijana hamuyajuwi hayo? Ulizeni tuwaelezee.
 

..magufuli ndio alitakiwa kuwashtaki wawekezaji kwa kutumia ushahidi wa ripoti za prof.mruma na prof.ossoro.

Cc Nguruvi3
 
Wenyewe wanasema hii ilikuwa land grab. Soma:

WHAT IS THE CASE ABOUT?The agribusiness company, Agro EcoEnergy wasgiven a 99 year lease to 20 thousand hectares ofland near Bagamoyo on the east coast of Tanzania,which it planned to turn into a sugar plantation.The planned investment was a flagship project ofthe New Alliance in Tanzania.The land was not empty. It was already in use bysmall-scale farmers and cattle herders. The firstphase of the project would have meant 300 peoplelost their homes, while another 1000 lost land.The company offered compensation but it didnot consult with the local people and get theiragreement and consent to the sugar plantation inthe first place. People were not given the right tosay no to the project. This breaks the internationallyrecognised principle of securing ‘free, prior andinformed consent’, making the project a land grab
 
Ripoti wanazosema zilkuwa za 'bargaining' kwa mujibu wa Prof Kabudi

..wana vichekesho sana hawa watu.

..hizo ripoti na ushahidi wao mbona havikusaidia ktk "bargaining" mahakamani tulikoburuzwa?
 
Hivi wewe ni Faizafoxy wa zamani!!!!
 

Mikataba ya Kikwete iliwapa wageni haki ya kushitaki huko huko wanakotoka. Magufuli akaona huu ni upunguani, bora tule hasara, tufute hii mikataba, tuanze upya, ndio akaleta akaleta sheria inayolazimisha kutumia mahakama za hapa hapa Bongo.

Hao Wazungu kwenye submission yako mahakamani wamesema hatua za serikali ya Tanzania zitafanya ipoteze imani za wawekezaji ambao wanahitajika nchini Tanzania. Kana kwamba wanatujali kiviiile na kutuonea huruma. Kama wanatujali na kutuonea huruma kwa nini wametushitaki na wametupuna mabilioni ya hela masikini ya Tanzania ?
 
..wana vichekesho sana hawa watu.

..hizo ripoti na ushahidi wao mbona havikusaidia ktk "bargaining" mahakamani tulikoburuzwa?
'Scam artist' . Ushahidi alipeleka Prof mmoja akawa laughing stock.
 
Na hiyo kampuni ya mfukoni iko humu humu nchini.
Kikwete huyohuyo lazima yuko nyuma yake.na ametia pesa kibindoni kwa mlango wa nyuma.
 
whatever, hiyo kampuni imepata fedha za bureeeeee, bureeeeee bila kuzifanyia kazi..... why not negotiate new terms instead of ejecting them from the land unceremoniously?
 
Tuna wanasheria wanafanya Serikali ishindwe Makusudi. Pumzika Kwa Amani Baba Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…