Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

Kwenye hilo huna ushahidi, ni udini umekutangulia
Pole sana nchi ipo kwenye mikono salama, hakuna kutekana, hakuna kuchinjana, hakuna kuoneana, ni mikataba ya kimaendeleo tu kwa kwenda mbele, na nyie ikifika zamu yenu vunjeni mikataba kibabe kutafuta umaarufu na ikifika enzi yao watalipa faini na fidia maisha yanaenda
Mimi sina dini na nilishaacha na mambo hayo ya dini za kuletewa na watu wa mashariki ya mbali kwaiyo pole Hilo Cha pili unapata maslai gani ya mojamoja kwa kiongozi kuwa wa dini yako maana Mimi sioni

Ndio maana bandari inauzwa watu mnashabikia kama marofa kisa kiongozi anayefanya ivo ni WA dini yako Sasa sijui hizo fedha atagawa misikitini?
 
Washington

Kesi

EcoDevelopment in Europe AB and EcoEnergy Africa AB v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/17/33)​


  • Subject of Dispute:
    Agribusiness project
  • Economic Sector:
    Agriculture, Fishing & Forestry
  • Instrument(s) Invoked: (i)
    BIT Sweden - Tanzania 1999
  • Applicable Rules:
    ICSID Convention - Arbitration Rules
  • (a) Original Proceeding​

    • Claimant(s)/Nationality(ies): (i)
      EcoDevelopment in Europe AB (Swedish), EcoEnergy Africa AB (Swedish)
    • Respondent(s):
      United Republic of Tanzania (Tanzanian)
    • Date Registered:
      September 11, 2017
    • Date of Constitution of Tribunal:
      February 23, 2018
    • Composition of Tribunal​

    • President:
      Christopher GREENWOOD (British) - Appointed by the Chairman of the Administrative Council
    • Arbitrators:
      Stanimir A. ALEXANDROV (Bulgarian) - Appointed by the Claimant(s)
      Olufunke ADEKOYA (British, Nigerian) - Appointed by the Chairman of the Administrative Council
    • Party Representatives​

    • Claimant(s):
      Mannheimer Swartling Advokatbyrå AB, Stocklom, Sweden
      Prof. Dr. Kaj Hober, London, U.K.
    • Respondent(s):
      Office of the Attorney General, Dar es Salaam, Tanzania
    • Language(s) of Proceeding:
      English
    • Status of Proceeding:
      Concluded
    • Outcome of Proceeding:
      April 13, 2022 - The Tribunal renders its award.
  • (b) Annulment Proceeding​

    • Applicant(s)/Requesting Party(ies): (i)
      Respondent(s)
    • Date Registered:
      June 21, 2022
    • Date of Constitution of ad hoc Committee:
      July 18, 2022
    • Composition of ad hoc Committee (Appointed by the Chairman of the Administrative Council)

    • President:
      Michael D. NOLAN (U.S.)
    • Members:
      Carole MALINVAUD (French)
      Githu MUIGAI (Kenyan)
    • Party Representatives​

    • Claimant(s):
      Mannheimer Swartling Advokatbyrå AB, Stocklom, Sweden
    • Respondent(s):
      Office of the Attorney General, Dar es Salaam, Tanzania
    • Language(s) of Proceeding:
      English
    • Status of Proceeding:
      Concluded
    • Outcome of Proceeding:
      May 16, 2023 - The ad hoc Committee issues a procedural order taking note of the discontinuance of the proceeding pursuant to ICSID Arbitration Rules 53 and 43(1).

Source : Overview of an Arbitration - ICSID Convention Arbitration (2022 Rules) | ICSID
 
Bahati nzuri tumefanya mazungumzo na jambo limekwenda vizuri ndege yetu imerudi jana jioni

Mazungumzo hayo ina maana fedha $165 million imelipwa baada ya kuelewana 'makubaliano' nje ya ICSID na siyo kushinda kesi ?
Outcome of Proceeding:
May 16, 2023
- The ad hoc Committee issues a procedural order taking note of the discontinuance of the proceeding pursuant to ICSID Arbitration Rules 53 and 43(1).

Rule 43

(1) If, before the award is rendered, the parties agree on a settlement of the dispute or otherwise to discontinue the proceeding, the Tribunal, or the Secretary-General if the Tribunal has not yet been constituted, shall, at their written request, in an order take note of the discontinuance of the proceeding.

Rule 65
Settlement and Discontinuance
by Agreement of the Parties
(1) If the parties notify the Tribunal that they have agreed to
discontinue the proceeding, the Tribunal shall issue an order
taking note of the discontinuance.
(2) If the parties agree on a settlement of the dispute before the
Award is rendered, the Tribunal:
(a) shall issue an order taking note of the discontinuance of the
proceeding, if the parties so request; or
(b) may record the settlement in the form of an Award, if the
parties file the complete and signed text of their settlement
and request that the Tribunal embody such settlement in
an Award.
(3) An Award rendered pursuant to paragraph (2)(b) does not need
to include the reasons on which it is based.
(4) The Secretary-General shall issue the order referred to in
paragraphs (1) and (2)(a) if the Tribunal has not yet been
constituted or if there is a vacancy on the Tribunal.

Source : Overview of an Arbitration - ICSID Convention Arbitration (2022 Rules) | ICSID

TOKA MAKTABA :

Air Tanzania Plane Seized in the Netherlands Over Land Issues​

BYBABATUNDE OGUNTIMEHIN
DECEMBER 2, 2022

maxresdefault-14.jpg


Air Tanzania Company Limited plane has been seized in the Netherlands after a Swedish firm won a $165 million award against Tanzania due to revoked land title in the Bagamoyo sugar project.
It is still not clear exactly which aircraft on ATCL’s fleet has been seized.
However, on Wednesday, the government dispelled fears of the possible attachment of an ATCL plane by a Dutch court, with the Attorney General saying everything was under control.
Attorney General of Tanzania, Dr Eliezer Feleshi confirmed that a Swedish firm that won a $165 million award against Tanzania had persuaded the court to uphold the attachment of the aircraft despite the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) having issued a stay of execution, pending annulment proceedings.
sgg.jpg

“It’s true that they went to court in the Netherlands after we had successfully appealed to the ICSID for a stay of execution. Everything is under control,” he said.

Dr Feleshi added that the government had already appealed against the Dutch court’s decision, but declined to offer further details.

“I can’t disclose further details…let’s be patient as the matter is in court.”

Tanzania has argued that the attachment is unlawful because it was obtained a day after the State had petitioned the ICSID to annul EcoDevelopment’s award.

The judge reasoned that the ICSID’s provisional stay of execution of the award only took effect on the date the institution registered the state’s annulment request.

The Swedish company is using the legal firm Houthoff in the Dutch courts, and Mannheimer Swartling in the ICSID proceedings.

Tanzania on the other hand has turned to Buren Legal for the attachment proceedings but has not appointed an external counsel in the arbitration or annulment proceedings.

EcoDevelopment, which is owned by 18 Swedish nationals, brought its ICSID claim in 2017 under the Sweden-Tanzania bilateral investment treaty.

That came after the government decided to unilaterally revoke the land title for a multi-billion sugar project in Bagamoyo.

The case commenced at the ICSID, a World Bank organ based in Washington.
 
Unajua ukiwa Rais unatakiwa kuwa na busara sana.....

Kwani hapa Tanzania hakuna sehemu nyingine inayofaa kwa project ya kulima na kuzalisha sukari?

Magufuli kavunja mkataba... Tunaishia kulipa mabillions...
Hakuweza kumtafuta huyo mwenye shamba wakaongea naye... hata kuulizwa umewekeza kiasi gani tukurudishie gharama? kama kweli mnalitaka?
Hapa naona watu wanalaumu Kikwete... Ila Magufuli kasababisha maafa mengi kwa Serikali kwa kukurupuka.... Hilo lazima lisemwe kwa uwazi bila kificho
Kwa hivyo we unadhani Magufuli alikuwa mwehu tu kulichukua hilo shamba bila ya sababu ya msingi.

Hakukuwa na mwekezaji serious hapo, jamaa alikuwa magumashi hana hela zaidi ya tapeli tu aliekuwa akihemea international funds za miradi kupitia ardhi ya Tanzania.

B6A20DE5-4F70-4F4A-ACB0-87C8B4F2BB5A.jpeg



MoU ya hilo shamba imesainiwa toka 2006 na ukisoma hiyo report ya AfDB ilitakiwa by 2013 wawe washakamalisha zoezi la kuwaamisha watu waliokuwa na makazi humo.

Mpaka 2015 watu bado walikuwepo, makubaliano ilikuwa ni kuipa kila familia $12500 sawa na millioni tsh 25,000,000 za muda huo na kuwajengea nyumba za makazi. Mpaka 2015 hakuna kilichofanyika.

Walitoa ahadi ya kuvuna 125,000 tones ya miwa kila mwaka na kutumia kwenye kuzalisha sukari kuanzia 2013 hakuna walichofanya.

Walitoa ahadi ya kuzalisha 8000-15000m3 ya ethanol kupitia kilimo cha miwa hadi 2013 na kutumia kuzalishia umeme wa 100,000 Mwh na kuuzia TANESCO huo uwekezaji hakuna.


Wadau ☝️wa kimataifa waliowa ahidi (UN agriculture development) kuwapa $66m mpaka mwaka 2015 walikuwa awajatoa hizo hela, AfDB ilihahidi $30 awa kutoa kwa sababu wote wawili hawakuona jitihada zozote za maendeleo za kuridhisha kwenye uwekezaji na kuwapa hizo hela za mradi.

Eneo lenyewe serikali ya JK January 2015 ilitaka wachukue hectare 3000 zilizoingia ndani ya hifadhi ya taifa, kwa hivyo ata alikupimwa.

Sheria walizoingia nazo mkataba ni za Tanzania na raisi ni custodian wa ardhi.

Ni hivi hakukuwa na mwekezaji hapo ni mtu tu kwa kushirikiana na mafisadi alipewa lease ya miaka 99 ya ardhi baada ya hapo anatafuta deal za hela kupitia international funds. we ukienda kwenye hilo eneo ungeweza weka ushahidi wa $50m anazodai kawekeza tayari, una ushahidi wa shughuli za kilimo ambazo anadai ni loss of income, una ushahidi wa kuzalisha umeme hapo, una ushahidi wa fidia alizolipa au makazi aliyojenga.

Ni utapeli mtupu mwanzo mwisho, but then we have our ways in losing even simple cases kama hizi na kuwatajirisha hawa matapeli wakizungu.

Kinachokera ni pale wanapopata watetezi wa ndani.
 
Nchi haina dira wala mipango. Kila mchumia tumbo anakuja na lake ilimradi tu. Na sisi tupo tu tunabwabwaja.
 
Atakayekuja atavunja mkataba wa waarabu nae atalaumiwa sana. Wabongo ni shida
 
Mkataba alioingia Kikwete akaja kuuvunja Magufuli, then huyo Kikwete "think tank" wa Samia tunaona mwanafunzi wake akitutoa sadaka kwa waarabu milele..

Naamini kabisa huo mkataba ulikuwa wa kinyonyaji kwa watanganyika kwa sababu Magufuli hakuwa na tabia za Kikwete na Samia, hao wawili ni waswahili selfish sana.
Selfish kuliko Nyerere aliyevamia Zanzibar na kuifanya ngawira ya Tanganyika?
 
Dawa ya deni kulipa.

Huwezi kukaribisha wawekezaji wakija kuwekeza halafu uwaambie "sitaki", lazima ile kwako kwa makubaliano ya Umoja wa Mataifa.

Moja ilishikwa Canada - tukalipa.
Nyingne ikashikwa Afrika Kusini - tukalipa.
Hiyo umeshikwa Uholanzi- tumelipa.


Tuliishika meli ya samaki, tukagawana samaki - tumelipa samaki, na meli na muda wote iliyokuwa imekaa kesi inaendelea.

Tuliowapora mali zao tukawalipisha "plea bargain" tumewalipa na bado tunaendelea kuwalipa.

WOTE HUO UJINGA WA MTU MMOJA, NA BADO MADUDU YATAENDELEA KUFUMUKA.
wewe malya lala umhumie mmeo
 
Dawa ya deni kulipa.

Huwezi kukaribisha wawekezaji wakija kuwekeza halafu uwaambie "sitaki", lazima ile kwako kwa makubaliano ya Umoja wa Mataifa.

Moja ilishikwa Canada - tukalipa.
Nyingne ikashikwa Afrika Kusini - tukalipa.
Hiyo umeshikwa Uholanzi- tumelipa.


Tuliishika meli ya samaki, tukagawana samaki - tumelipa samaki, na meli na muda wote iliyokuwa imekaa kesi inaendelea.

Tuliowapora mali zao tukawalipisha "plea bargain" tumewalipa na bado tunaendelea kuwalipa.

WOTE HUO UJINGA WA MTU MMOJA, NA BADO MADUDU YATAENDELEA KUFUMUKA.
Tukisema lile lilikuwa shetani hatari kabisa wafuasi wake wananuna
 
Tatizo hao wawekezaji mnawakaribisha kwa terms za hovyo, mlizoweka tamaa zenu binafsi mbele badala ya maslahi ya Tanganyika, ndio maana akija anayejielewa anaiona nia yenu ovu mwishowe anavunja mkataba.

Kulipa pesa za fidia kukiwa na maana ya kuilinda thamani ya Tanganyika, na utu wa mtanganyika kwangu naona afadhali sana, ashukuriwe yule aliyevunja mikataba ya hovyo dhidi ya mtanganyika.
Lile shetani lenu la Chato lilikuwa hatari sana, nyonya damu za watu
 
Siku tunavunja mkataba na dip welidi baada ya kugundua waliwaonga watawala wetu tutawalipa nusu bajeti ya mwaka
 
By MMM

Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh.

Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete.
cae no. ICSID No. ARB/17/33

Serikali ya Samia imelipa.
Zingelijenga shule ngapi?
Dawa kiasi gani?
Mikopo ya wanafunzi kiasi gani?


EcoEnergy lodges $500m claim after govt revoked its land title

Wednesday, September 20, 2017 — updated on April 17, 2021

View attachment 2684031

A poster showing where a multi-biliion Bafgamoyo Sugar Project was to be implemented by the EcoEnergy Group.PHOTO|FILE

Summary

The case has commenced at the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID), the World Bank organ, which is based in Washington D.C.


Dar es Salaam. EcoEnergy Group has filed a $500 million arbitration claim against the Tanzanian government over its decision to unilaterally revoke land title for a multi-billion Bagamoyo sugar project.

The case has commenced at the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID), the World Bank organ, which is based in Washington D.C.

The Commissioner for Lands informed the Bagamoyo EcoEnergy Limited in November, 2017 that the government had resolved to revoke the title deed for the 20, 400 hactares and instead replaced it with the name of the President of the United Republic of Tanzania.





The unexpected move dealt a major blow to the Swedish company that had for over 10 years worked to develop the project and invested $52 million in a ready-to-go project for local production of sugar, renewable electricity and fuel.

Attorney General and government’s chief legal adviser, George Masaju could not be reached by phone yesterday to react on the move. The project was tied under the bilateral investment protection between Tanzania and Sweden, which calls for disputes to be settled by international arbitration.

The revocation was followed by a series of unsuccessful attempts by the company to have dialogue with the government to save the project and pay compensation.

“Despite several invitations from EcoEnergy, GoT (Government of Tanzania) has ignored all offers to meet for a dialogue to save the project. Hence, EcoEnergy has no other option but to seek legal redress though an international arbitral tribunal,” states the document filed at ICSID. The company wrote to President John Magufuli on December 5, 2016 to request his intervention after failed efforts to have the Prime Minister, Kassim Majaliwa and minister for Industry, Trade and Investment Charles Mwijage to give a go-ahead and full support to enable the sugar project to start.

The consortium of EcoEnergy Africa AB of Sweden and Uttam Group of India was to inject $100 million towards the Bagamoyo project as own equity.

The remaining fund of $250 million would have been a combination of DFI and commercial bank lending where a commitment was given by African Development Bank (AfDB) to act as a lead financing arranger. They already had a board decision of the AfDB to allocate $100 million towards the project.

AfDB withdrew their financing commitment later due to inaction by the government to respond to their requests of endorsing the Bagamoyo project in combination with information that the government had revoked the land title with the intention of giving it to a domestic investor.

“We are concerned that you have not been fully informed about the actual situation and about our ability and interest to have the Bagamoyo Sugar Project up and running by 2019…Taking governments inaction and recent actions and their consequences into consideration we and our partners have now undesirably been forced to reassess the entire situation,” read part of the letter to President Magufuli.

The company has outlined several reasons why it opted for the international arbitration to resolve the dispute. “EcoEnergy has the right to be compensated for the financial harm suffered as the result of GoT’s acts and omissions violating the bilateral investment treaty.

“If the government is allowed to continue unchecked, its damaging actions towards private investors will lead to the loss of credibility for Tanzania as a destination for much needed direct investments into agriculture, as well as into other parts of the economy,” the company complains in the arbitration dossier.

The integrated sugar project that was to be carried out by the firm would have been one of the largest private agriculture investments in East Africa with an overall investment of about $500 million, including the outgrower programme.

The Bagamoyo project was estimated to create 20, 000 jobs in the processing facility, the estate, logistics, the outgrower programme and through indirect employment.

In 2013, the government of Tanzania issued a certificate of occupancy for 99 years for 20, 400 hactares free of encumbrance for the western portion of the abandoned Razaba ranch four years after an environment and social assessment certificate had been approved.

Then minister for Agriculture Livestock and Fisheries Mwigulu Nchemba sent a letter to Bagamoyo EcoEnergy on behalf of the government stating: “On behalf of the government of Tanzania and myself, we do appreciate your efforts in supporting the mentioned project. I think it is now time to make our outmost to bring the project to its successful implementation.” EcoEnergy now says: “The government’s act and omission, which have prevented the BEE project from being implemented, violate Tanzanian’s obligations under the bilateral investment treaty. The government has failed to ensure fair and equitable treatment, it has taken unreasonable and discriminatory measures against EcoEnergy,” read part of the document filed at ICSID.

Hii ni mizigo ya uongozi. Tunaingia uwekezaji na wawekezaji wa aina gani? Kwa mikataba gani?
Ujuaji unaoendelea unaonyesha kesi kama hizi zitakuwepo nyingi sana
 
Back
Top Bottom