We kinyesi...mbona wazungu walichukua kimabavu africa na kuua sana babu zetu awajashitakiwa ...unajua kama ni haki basi tungelipwa ma bilioni ya dola tena kila mwaka kama fidiaShamba lilichukuliwa kimabavu na JPM then umlaumu JK ? Acha kutafuta mchawi kila mara
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Viongozi haramu na wasio wazalendo wana sifa moja ya kuingiza familia zao kwenye siasa na uongozi tena wao wakiwa bado wapo madarakani hufanya hivyo kupita kiasi sasa tazama hao waisiharamu wote kisha tazama Nyerere ,Mkapa na JpmHahaaaa!!!ucngeacha kuonesha chuki zaki dhahiri,ktk marais waliokuwa mafisadi nchi hii huwez kumuacha yule che nkapa
Amechomoka betriEtwege yuko hospital amechoropoa mimba karibu afe
Enzi za Magufuli kina Lissu walikuwa wanaonya dhidi ya tabia ya kuchukua Mali za wawekezaji bila kufuata Sheria. Walikuwa wanaonya kwamba tutapelekwa kwenye koti za kimataifa (ambazo tume sign wenyewe) na kushtakiwa. Tutashindwa na kulitia Taifa hasara. Ndio Haya yanatokea!Enzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Hapana. Ni Kampuni ya Sweden iliyokuwa imeanzisha mradi wa kuzalisha Sukari Bagamoyo. Wangezalisha pia Umeme kutumia Mabaki ya miwa. BAHATI MBAYA tukawanyang'anya bshamba baadae ya kuwa wameshawekeza kwa miaka 10; tukampa Bakhressa! Wakaenda mahakamani kulalamika. Matokeo ndio Haya.Sio ile kampuni ya bandarini?
Unajua wenzetu wanajua kucheza na maandishi (mikataba) mkataba wenye ukubwa wake sawa na BIBLE, wanajua kwa ulemavu wetu wa kufikiri...100% hatutausoma tukaumaliza.... habari ndo hiyo...Hapana. Ni Kampuni ya Sweden iliyokuwa imeanzisha mradi wa kuzalisha Sukari Bagamoyo. Wangezalisha pia Umeme kutumia Mabaki ya miwa. BAHATI MBAYA tukawanyang'anya bshamba baadae ya kuwa wameshawekeza kwa miaka 10; tukampa Bakhressa! Wakaenda mahakamani kulalamika. Matokeo ndio Haya.
Upo sahihi. Lakini hii ndio tunaita 'stable business environment ' . Itakuwa ngumu Nchi kuaminiwa na wawekezaji wakubwa kama Mkuu anaweza kuibuka siku Moja na kusema nimekunyang'anya eneo lako la uwekezaji!. Huku akijua ni ni kinyume Cha Sheria. Tabia za kutokujali na kuheshimu taratibuUnajua wenzetu wanajua kucheza na maandishi (mikataba) mkataba wenye ukubwa wake sawa na BIBLE, wanajua kwa ulemavu wetu wa kufikiri...100% hatutausoma tukaumaliza.... habari ndo hiyo...
Alikuwa mtu asiyetumia akili ndiyo manaa Corona ikasepa nayeJiwe ndiyo ali sign hiyo mikataba ya Kifisadi!? Au Jiwe ndiyo alikua anajaribu kupambana na hiyo Mikataba yenu ya Kifisadi mliongia Kama vile hakuna kesho tena!!??
Angeongea then what?..Laiti JPM angekuwa hai leo naamini angeongea jambo kuhusu haya yanayotokea sasa. Haya naombeni hili nalo mkalitizame!
Kifo ni kifo tu,hata wwe siku ukifa kuna Watu watajaribu kutuambia sababu ya kifo chako,lakini ukweli utakua nao wwe Marehemu huko kaburini,Mimi huwa napenda kujadili Mambo kiuhalisia zaidi kuliko kinadharia!!!Alikuwa mtu asiyetumia akili ndiyo manaa Corona ikasepa naye
Mikataba ya kipumbavu lazima ivunjwe kwa gharama yoyote ile haijalishi Nani kai sign!! Tanzania ni ya wote!!!Angeongea then what?..
Unavunja mikataba hovyohovyo ukitegemea watu wapotezee tu hasara zao?.
Sawa na mali za nchi zikikamatwa, msitafute uruma ya kuona mnahujumiwaMikataba ya kipumbavu lazima ivunjwe kwa gharama yoyote ile haijalishi Nani kai sign!! Tanzania ni ya wote!!!
Aliye sign mikataba ya kiunyonyaji ndiyo katuhujumu,lakini siyo mwisho lazima tupambane nayo ili tutoke kwenye mitego yao!!!Sawa na mali za nchi zikikamatwa, msitafute uruma ya kuona mnahujumiwa
Looh! ATC is a loss-making institution.Aloo nchi yangu mie dah
Mikataba inasainiwa na (rais)m/kiti wa CCM tena gizani. Hapa kupambana ni kuiondoa CCM tuAliye sign mikataba ya kiunyonyaji ndiyo katuhujumu,lakini siyo mwisho lazima tupambane nayo ili tutoke kwenye mitego yao!!!
Uko sahihi lakini Jiwe hakuwa mtu mwenye utimamu.Kifo ni kifo tu,hata wwe siku ukifa kuna Watu watajaribu kutuambia sababu ya kifo chako,lakini ukweli utakua nao wwe Marehemu huko kaburini,Mimi huwa napenda kujadili Mambo kiuhalisia zaidi kuliko kinadharia!!!
So unaamini Jiwe alikuwa na akili kuliko wewe?Jiwe ndiyo ali sign hiyo mikataba ya Kifisadi!? Au Jiwe ndiyo alikua anajaribu kupambana na hiyo Mikataba yenu ya Kifisadi mliongia Kama vile hakuna kesho tena!!??