Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Lipeni hela za watu!Shida nini tena jamani? Nani hao wasio na nia njema na taifa hili?
Yote yawezekana chini ya jua never say never. Its the reason DR Congo will remain poor for millenia to come sababu tu mabeberu wana maslahi nayo.Hivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!
Hayo ni matokeo ya viongozi wasio wazalendo ..hasa hasa kikwete hayo madeni ni madeni ya kifisadi na mikataba ya kifisadi ....yani kikwete alikuwa anafanya ufisadi endelevu wa kimikataba, hata akija rais mpya lazima ule mkataba ama uvunjwe kisha tuchavushe deni la kifisadi au tuendelee nao tupigwe kifisadi.Wakati wa Mwendazake, tuliambiwa haya mambo yalikuwa yanatokea kwasababu Mwendazake alikuwa anapambana na mabeberu na mafisadi katika vita ya kiuchumi.
Sasa leo Mwendazake hayupo, je hiyo vita ya kiuchumi nani anapambana nayo?
Serikali ya Mama Samia na yenyewe iko katika vita ya kiuchumi na mabeberu?
Au tutasingizia tena wapinzani waliokuwa wanachelewesha maendeleo?
Nchi ngumu sana hii!
[emoji1787][emoji1787] zuzu wa mazuzuHilo nalo nendeni MKALITIZAME!
Lakini tukiwa hoi!Tutafika tu
Madeni ya kifisadiDawa ya deni ni kulipa tu, hakuna namna.
Chadema yote ilikuwa inafurahia news za namna hii sasa hivi kimya ...chadema ni wahuni tuEnzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu, msemaji wa serikali amegoma kuzungumzia jambo hili.
Ndungai huyu huyu aliyesema atake asitake tutamwongezea muda na mtu wa kwanza kumwona mke wa Yesu au Ndungai yupi?Ipo siku na hii nchi itapigwa mnada kama alivyosema Ndugai.
Msababishaji wa haya yote ni JiweEnzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Usimlaumu Salary Slip kwa uandishi wake kwa kuwa hiyo ilikuwa ndiyo sentensi ya Magufuli kila akikosa reasoning ya UJINGA wake kwenye decision making. Ni sarcasmHivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!