NDEGE yaanguka NAIROBI,

NDEGE yaanguka NAIROBI,

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2008
Posts
1,518
Reaction score
24
Kuna habari kuwa kuna ndege imeanguaka huko Uwanja wa ndege wa Wilson jijini Nairobi.
Eti Ndege hii ilikuwa ni maalumu kwa KUSAFIRISHA MIRAA kwenda Somalia.
Chanzo cha kuanguka kwa ndege hii hakijafahamika.
Tunaomba wenye taarifa zaidi watujulishe ukweli.

PICHA YA NDEGE HIYO YA MIRAA
 
A cargo plane on Monday killed two crew members when it crashed at Wilson Airport, Nairobi.
The pilot died as he was being taken to Kenyatta National Hospital, while his co-pilot later died at the Nairobi Hospital where he had been admitted in critical condition.

They were transporting miraa to Quarrel airport in Mogadishu, when their plane developed a problem at around 8am on Monday, according to airport officials who had been in touch with the pilot moments before the accident.

They said the crew decided to return to crash-land at the airport after being airborne for about two hours. But the plane crashed into the airport’s fence and burst into flames before landing onto a ditch near the runway.

The accident, which involved a small cargo aircraft, continues to raise doubts about the safety of planes taking off and landing at the airport.

It was the fourth plane tragedy to have occurred near the airport – whose runway borders the Nairobi National Park, on one side, and human settlements, on the other – in the last four months.

Last September, a light police aircraft on a routine training mission crashed and burst into flames near the airport, injuring two officers who were on board.

The two were a pilot and his student were both police officers attached to the Police Air Wing unit based at the airport.

And barely 12 hours later, another small plane crash-landed into the Nairobi National Park moments after taking off from the airport.

In August, a plane carrying an American film crew crashed into a house at the nearby Nyayo Highrise estate, killing the pilot.

Despite these accidents raising concerns about the safety of the facility, the national regulator of airspace safety, the Kenya Airports Authority and the Kenya Civil Aviation Authority, have not taken any visible action.
 
duuu hivi hii kitu kumbe inaruhusiwa kusafirishwa kisheria kabisa...maana mpaka watu wanakodi ndege kusafirisha miraa that means inalipa and this is a legal business in Kenya ans Somali as well.
 
A cargo plane on Monday killed two crew members when it crashed at Wilson Airport, Nairobi.
The pilot died as he was being taken to Kenyatta National Hospital, while his co-pilot later died at the Nairobi Hospital where he had been admitted in critical condition.

They were transporting miraa to Quarrel airport in Mogadishu, when their plane developed a problem at around 8am on Monday, according to airport officials who had been in touch with the pilot moments before the accident.

QUOTE]
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
duh pole kwa familia za marehemu, ndugu jamaa na marafiki!
 
Huku kENYA Miraa ni ruksa mazee. Siyo kama bongo yetu. Mimi pia nilishangaa sana kujua kuwa miraa inakubalika katika sheria za kenya.
 
duuu hivi hii kitu kumbe inaruhusiwa kusafirishwa kisheria kabisa...maana mpaka watu wanakodi ndege kusafirisha miraa that means inalipa and this is a legal business in Kenya ans Somali as well.

miraa ruksa mkuu, tena inalipa sana, nunua mzigo meru kwa bei rahisi peleka UK unapata faida nzuri, inauzwa mtaanikabisa kwenye majani ya migomba, unachanja na BigG baba swaaaafi kuliko hata Lager
 
Arusha pia inauzwa nje nje... Mitaa ya Bondeni ukiona jani la mgomba ujue 'GOMBA' (MIRAA) lipo,juzi kuna Pick up ilipata ajali ikileta Miraa Nairobi yawezekana Ndio Mzigo huohuo ndo uliosababisha,sijui wamedhulumu m2 wallah!!!
 
Miraa hata UK ni ruksa, jamaa wa kisomali wananunua Kenya na Bongo then wanauza Europe, naona wazungu hawaipigii kelele kwa kuwa watumiaji weupe si wengi, wateja wakubwa ni watu weusi hasa wasomali wenyewe.
 
Duh Miraa! Mirungu hii imemfanya Rubani vibaya.

Poleni anyway.
 
INAWEZEKANA SIR GOD AMECHUKIZWA NA HIYO BIASHARA, KAMA ILIKUWA INAPELekwA MOGADISHU!!!!!!!, Biashara ya kuvuruga akili, na ndio mana WaSomali hawatulii, wanavurugwa na mimea kama hii....
 
Aisee, kitu imebebwa gunia kwa gunia.
Jamaa hawajachangamkia mzigo? Manake mpaka umepigwa picha...au wanaoneana aibu?
 
Back
Top Bottom