Ndege yashindwa kutua Julius Nyerere International airport kutokana na hali ya hewa

Ndege yashindwa kutua Julius Nyerere International airport kutokana na hali ya hewa

kuna hali gani mbaya hapo ya hewa sasa.

anyway muende Zenji faster hapo hatuhitaji yale ya Bukoba na kuanza kutengeneza sinema tena.
Ikitokea ajali ndio mnaanza kulaumu. Bongo hata ufanye nini utalaumiwa tu.
Kama watu hawaridhiki hata na mipango ya Mungu binadamu kitu gani.
 
Hii ni TC 111 ilikua ikitokea Mwanza kuja Dar, ilibidi itue majira ya Saa ,5 Asubuh lakini ilishindwa kutua kutokana Hali ya hewa ya Mvua, lakini badae ikatua salama
 
Ficha huo ujinga basi?
Huu sio utelezi wa kijijini kwenu mvua ikinyesha.
Marubani wa ukweli wanatua JFK, HEATHROW, SCHIPOL, etc. kukiwa na snow inadondoka na upepo mkali sana, sasa hapo Dar joto 38C + hali mbaya ya hewa inatoka wapi??? Tatizo marubani wa VETA wamekariri ya Bukoba 🤣 🤣 🤣
 
hawa marubani wa VETA ni shida sana, sasa kweli hio ni hali ya kufanya kushindwa kutua??? Je kungekua na snow inadondoka si asingerusha kabisa hio ndege..
Acha dharau ndugu yangu VETA imeingiaje hapa heahimu tasisi nadhani ungetoa mifano isyo na dhihaka usinge pingukiwa kitu una manisha walio soma veta awajielewi kwa nini usitoe mfano wa vyuo wanapo jinfunzia kuendesha ndege
 
Back
Top Bottom