Ndege yatua kwa dharura Kilimanjaro International Airport baada ya kugongana na Pundamilia

Ndege yatua kwa dharura Kilimanjaro International Airport baada ya kugongana na Pundamilia

HISTORIA / MAKTABA

Sindbard Air na shughuli za usafiri wa Anga, tukio la 27 October 2024

19 November 2024

Emergency Landing in Zanzibar: Aircraft Loses Two Tires in Shocking Incident ! Involving Sindbard Air aircraft ATR42-300

View: https://m.youtube.com/watch?v=A4V_kr0InfI
Aircraft Incident at Arusha Airport! ✈️Are you ready to dive deep into the world of aviation with an incredible story that showcases the resilience and expertise of Sindbard Air?

In this compelling video, we explore the shocking incident of an aircraft departing from Arusha Airport on 27 October 2024, Tanzania, that lost two tires but managed to land safely in Zanzibar! This incredible tale not only captivates aviation enthusiasts but. also shines a light on the precision and professionalism required in the airline industry

#: Why This Incident Matters in Aviation 🎥Aviation incidents are rare but can teach us invaluable lessons. This extraordinary episode will open your eyes to the challenges faced by pilots and flight crews. It's a reminder of the dedication of airline personnel and the unwavering spirit of aviation. Understanding these situations helps us appreciate the immense safety measures airlines put in place.#: What You Will Learn from Our Video:
  • Overview of the Incident: Gain insight into what happened during this unexpected flight.
  • Pilot Expertise: Discover the skills and training required to manage unexpected challenges, ensuring passenger safety is the top priority.
#: Meet the Experts Behind the Scenes 👨‍✈️👩‍✈️This video features interviews with seasoned pilot and industry professional, Magnar who provides their expert insights on aviation safety
 
Hii nchi ngumu sana...

Imagine kuna mwamba mmoja tu.... mlemavu wa kutandikwa marisasi, hana jeshi wala kabastola... Lakini huyu mwamba anawekwa gerezani kwa mwaka mmoja na nusu.... Majaji watatu na mawakili kibao wa serikali wakiwa busy kuchunguza kama huyu mwamba kivyakevyake tu anaweza kuitishia serikali na kufanya mapinduzi... ili wamnyone ili liwe fundisho kwa majabali wengine wenye uthubutu huo....

Na serikali ikatishika kwelikweli eti...

Afu hapa atokee mtu eti ashangae pundamilia anashindwaje kupaa angani akabutuane na ndege??
 
Hii nchi ngumu sana...

Imagine kuna mwamba mmoja tu.... mlemavu wa kutandikwa marisasi, hana jeshi wala kabastola... Lakini huyu mwamba anawekwa gerezani kwa mwaka mmoja na nusu.... Majaji watatu na mawakili kibao wa serikali wakiwa busy kuchunguza kama huyu mwamba kivyakevyake tu anaweza kuitishia serikali na kufanya mapinduzi... ili wamnyone ili liwe fundisho kwa majabali wengine wenye uthubutu huo....

Na serikali ikatishika kwelikweli eti...

Afu hapa atokee mtu eti ashangae pundamilia anashindwaje kupaa angani akabutuane na ndege??
Udwanzi wa hali ya juu sana
 
Pundamlia kakutana na ndege wapi
Katika usafiri wa anga, mnyama anapoingia ghafla kwenye njia ya kuruka (runway) wakati ndege ikiwa tayari imeshafikia kasi kubwa ya kupaa (Decision Speed au V₁), rubani anakuwa hana chaguo salama zaidi ya kuendelea kupaa juu. [1]
Hizi ndizo sababu kuu zilizomfanya rubani wa ndege hiyo yenye usajili 5H-HLL kuendelea kuruka kuelekea angani baada ya kugonga pundamilia huko Seronera:
  • Kasi kubwa ya ndege (V₁ Speed): Ndege ilikuwa imeshapita kasi ya mwisho ambayo rubani anaweza kufuta safari na kufunga breki kwa usalama ardhini. Ukijaribu kusimamisha ndege nzito yenye kasi hiyo kwenye uwanja mfupi wa udongo kama wa Seronera, ndege inaweza kuacha njia, kupinduka, au kushika moto, jambo ambalo ni hatari zaidi kwa abiria.
  • Kutafuta usalama angani: Angani kuna nafasi kubwa na salama zaidi. Rubani alihitaji kupaa kwanza ili kuweka ndege sawa, kutathmini ukubwa wa uharibifu uliotokea, na kuwasiliana na minara ya uongozi wa anga kwa ajili ya ushauri na maandalizi ya dharura.
  • Uwanja wa Seronera hauna vifaa vya uokoaji: Seronera ni kiwanja kidogo cha mbugani (airstrip). Kusingekuwa na uwezekano wa kutua kwa dharura hapo kwani hakuna vikosi vikubwa vya zimamoto, magari ya wagonjwa, wala povu maalum la kuzuia moto.
Baada ya kupaa na kugundua kuwa gurudumu la upande wa kushoto limepata hitilafu kubwa, rubani alifanya uamuzi sahihi wa kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). KIA kuna njia ndefu ya lami na mifumo yote ya kisasa ya uokoaji iliyosaidia abiria wote 26 na wafanyakazi 4 kushuka salama kabisa.
 
Tupo makini kwa kweli...siyo kama nchi zingine
Hamna cha umakini tuseme tu Tanzania hmna ile traffic kubwa za ndege na ndio inasababisha kuwe na low Aircrash incidents.. amini nakwambia
 
Fikiria tu fuselage itakuwa inaitwa nini kwa kiswahili

Nimejaribu ku google translate eti jibu ni ''mwili wa ndege'' :Floshed:

ndege yupi sasa?
Fyusileji 😄
Walikuwa wanasema Kiswahili kitumike mpaka sekondari na chuo kikuu, sijui wamefikia wapi na huo mpango.
 
Back
Top Bottom