Ndege za arabuni zimetua Loliondo Ngorongoro

Ndege za arabuni zimetua Loliondo Ngorongoro

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
12039206_1630569340550312_5037002792154300746_n.jpg


12039206_1630569340550312_5037002792154300746_n.jpg


12048959_480654022096572_958274830_n.jpg


12046867_1630569460550300_6460435293286670224_n.jpg
 
Siyo mara yao ya kwanza mkuu wanyama weng sana wamesha toroshwa! usalama wa taifa upo dah! Tanzania
 
Twiga huyooo anasepa! Wakati nyie mko bzy na kampeni wanachukuliwa Wa kutosha. Kwani so mmejisahau kama wapo?? Hii ndio tz bwana..
 
Duuh! Hii balaa, ndo wanabeba wa mwisho mwisho maana baada ya October 25 hatutakubali huu ujinga. Wananchi tutaandamana kutosha tairi za ndege. Ila ukijaribu sasa hivi ni lazima utapigwa tuu.
 
Yaani hii nchi, halafu bado kura mmawapa, duu inauma mkuu
 
haya makamanda twendeni tukazuie hiyo ndege isiondokenlazima imeijia twiga hiyo,makamanda,bAbvicha,red brigade,bawacha na masela wote hima tuandame mguu kwa mguu hadi hapo tuikamate ndege ya waarabu...

mabadilikoooooooo,lowasa lowasa mabadiliko
 
ccm bull shit!!!!!! Out. Lazima watupe mabadiliko 50 yrs waone maendeleo ya kasi ya ajabu.
 
duh aisee mbona hii nchi sasa imekua kama choo cha stand? yani uchafu umekua nje nje bila ata kujali ila October inakuja tukapunguze hasira zetu hizi..
 
Back
Top Bottom