Twiga huyooo anasepa! Wakati nyie mko bzy na kampeni wanachukuliwa Wa kutosha. Kwani so mmejisahau kama wapo?? Hii ndio tz bwana..
Hahahaaaa umenifurahisha huku nasikitikahii inch ni ya Hovyo sana. mm sijawai kupanda ndege ila Twiga ana panda.
Ondoka jaykei inatosha
Inatia hasira sana yan mtu ukiipigia kura ccm lazima utakua mento