Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
ila mbona naona dalili za fotoshop, kuna picha mbili hapo zimafanana kila kitu hadi move za watu moja ina twiga nyingine haina
Ni photo shop 100%.Bahati mbaya kuna watu wameamini hizo picha. Hii ina nipa wasiwasi wa credibilty ya topic nzimaunaakkili nyingi mkuu. kula tano. kwa akili hiyohiyo mpe na lowassa tuiangushe ccm