Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet

Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia manual system kuendelea na kazi).

NB: Waandishi wa habari TZ hutawasikia wanaandika hili. Wao ni mwendo wa kusifia kama mazombi.
 
Wanunue magari, wangepanda magari badala ya ndege. Ni mda sahihi kwa Air Tanzania kuanza kumiliki magari kwa ajili ya emergency kama hizi.
Magari kwa ajili ya hapa hapa bongo au hata kusafirisha abiria nje ya nchi?
 
Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, ndege kama Emirates, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa kutokana na kukosekana na internet
Kwani tatizo wamesema litaisha lini?
 
Nampongeza Mhe Bashite
Pamoja na mheshimiwa, dkt, raisi, mwenyekiti wa muungano, mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi, jemedari, mheshimiwa, amirijeshi, mtetezi wa wanyonge, mama wa yatima, mkuu na ndugu yetu samia suluhu hasaan
 
Wazungu wakiamua turudi maporini wamime tu internet.
 
Back
Top Bottom