Magari kwa ajili ya hapa hapa bongo au hata kusafirisha abiria nje ya nchi?Wanunue magari, wangepanda magari badala ya ndege. Ni mda sahihi kwa Air Tanzania kuanza kumiliki magari kwa ajili ya emergency kama hizi.
Hata njee nchi, kikubwa yapewe kipaumbele barabarani kama ambulance ikipita basi wote waweke mikweche yao pembeni.Magari kwa ajili ya hapa hapa bongo au hata kusafirisha abiria nje ya nchi?
Kwani tatizo wamesema litaisha lini?Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, ndege kama Emirates, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa kutokana na kukosekana na internet
Yaani upande gari kwenda Istanbul au Dubai?Hata njee nchi, kikubwa yapewe kipaumbele barabarani kama ambulance ikipita basi wote waweke mikweche yao pembeni.
Kwani shida iko wapi?Yaani upande gari kwenda Istanbul au Dubai?
Nampongeza Mhe BashiteKwani shida iko wapi?
Pamoja na mheshimiwa, dkt, raisi, mwenyekiti wa muungano, mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi, jemedari, mheshimiwa, amirijeshi, mtetezi wa wanyonge, mama wa yatima, mkuu na ndugu yetu samia suluhu hasaanNampongeza Mhe Bashite