Ndege zetu ziko wapi, Kwenye kusafirisha mazao kwenda Ulaya?

Usafiri wa ndege siyo sawa na wa barabara ambapo Musukuma Bus Service toka Geita na abiria mmoja na kufika Chato limejaa abiria, mbuzi, kuku, samaki n.k. na kurudi likisanya shehena mbalimbali hivyohivyo. Watu walihoji busara ya kupeleka mbuzi tani 3 Dubai na kurudi na hostages tu bila hata ngamia mmoja. Utapeleka ndege Ubelgiji na tani 20 za mbogamboga na kurudi na Coronavirus pekee italeta faida kwa Shirika na nchi? Watu hawakupinga kununuliwa ndege, wengi tulihoji busara ya Rais kununua hizo ndege kwa niaba ya ATCL wenyewe wanaozihitaji. Wengi wanamkumbuka Mwingira Waziri aliyeleta zile ndege mbili za kukodi toka Lebanon ambazo hazikuruka tena baada ya kuwasili. Mwingira alitumbuliwa kwa kutia hasara Serkali, kwa hili nani atumbuliwe ndege na mbawa zao haziruki?
 
Biashara ya ndege sio kama matoroli leo unawapa wabeba matofali ujenzi ukiisha unawapa wauza maji.
Ndege zetu ni za abiria wala sio za mizigo. Kuifanya ndege iwe ya mizigo ni process ndefu mno na inataka upate kibali tena baada ya kuibadili. Pia sio kila ndege unaweza ifanya iwe ya mizigo.
Vilevile ni lazima kampuni iliyotengeneza iridhie au ndo ibadilishe matumizi ya ndege hiyo.

Tukija kwenye biashara. Huwezi toa bidhaa zako hapa nchini kupeleka Ulaya bila kujua unampelekea nani. Hili sio soko la Mabibo kuwa utapeleka viazi mbatata umwage chini waje watu usiowajua wanunue. Ukipeleka mzigo nje ya nchi lazima ujue unampelekea nani. Na lazima kuna mikataba isainiwe ndo maana huwezi ona apple zinatolewa SA kupelekwa Europe wakati wanachama wa EU wanazalisha pia. Hutokaa uone maziwa yanatoka Kenya yanaenda Ulaya wakati Netherlands na nchi kibao kule wanazalisha ya kutosha.

Na kwanza sijui kama hata ndege za ATCL zina kibali kuruka Ulaya, kama kipo ni upuuzi mtupu maana kibali unakilipia wakati hakuna ndege inaenda.
Utalipiaje king'amuzi wakati huna Tv.
 
Akili zako bado zimegungwa na mawazo ya kijima kwamba kwenda ulaya ndo Kuna pesa..si nyie mliponda ndege kupeleka nyama ya mbuzi..Sasa mmeibuka mnataka zisafirishe kisbu nachicha!!!
 

Ishu sio biashara maana mazao yetu mbona yanapelekwa na ethiopia airways


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mengine sio muhimu kwa sasa tupambane na corona kwanza

Jr[emoji769]

Mkuu kasema tuchape kazi sasa wafanyakazi wa ATCL watafanyaje ndege zinaatamia mayai


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tai tena? Nimeuliza tu, umemaliza? Nisamehe sana, mi sina ujanja wowote ule, hata hio tai ilikua 2010 sijajua ni juzi IPI hio unayosema. Tumalizie kama una lingine. La tai limeisha
Unadhani unaongea na kijana mdogo sio?
 
Kiukweli kwangu mm Mtz mwenye uelewa mdogo, ninashindwa kuelewa naposikia leo ndege haina vibali, ilhali ndege hiyo tulionyeshwa ilibeba shehena ya mbuzi?? Na mapichapicha ya ushahidi...
Au ilikuwa ujanjaujanja??...
Danganya toto??

Everyday is Saturday....................... 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…